Duuh 70+ yrs mkuu sasa huko si kukaribisha kitu kuu sasa kije tu kile mali zako?Acha Kuteseka Kwa Male Hakuna Age Maalum Isipokuwa Mwanamke
Nakushauri Sana Kama Una Nauli Fika Wilaya Moja Ipo Tabora
inaitwa Kaliua Tunaomjua Alhaj Professor Athuman Juma Kapuya
Akiwa Na Miaka 70+ Alioa Binti Mtekemteke Miaka 20+
Akaanza Kula Raha Duniani
Dkt Abass Naye Na Mtangazaji Wa Cloud
Oa Sasa Hujui Miruzi Mingi Humpoteza MbwaDuuh 70+ yrs mkuu sasa huko si kukaribisha kitu kuu sasa kije tu kile mali zako?
I agree but mimi ni kijana nataka nianzishe familia na ninajua msingi bora wa maisha ni kuwa na familia
Sawa kiongozi kumbe bado nina window kama ya miaka 5 hivi?Mwanaume hata akiwa mzee anaoa na anakuwa na familia, kwa mwanamke sasa ndo Kuna limit kutokana na kuwa after menopause possibility ya kuwa na family ni almost zero, ila kwa mwanaume na mwanamke wanaoanza maisha age sahihi kwa mwanaume ni 35+ na mwanamke akiwa kwenye 28+ inakuwa njema tu, age gap ya 5+ ni age inayoshauriwa zaidi kuwa ni suitable ijapokuwa hata ikiwa 10+ si mbaya, ila kwa mwanaume ikitokea umemuoa mwanamke ambaye kakuzidi umri basi isizidi 3 years
Sawa mkuu hasa kwa sisi wanaume Tuna muda mwingi sana, twapaswa tusiyumbishwe kabisa na outside noiseWale wote waliokuwa wanamuulizia Kiongozi wao wa zamani mahali aliko na anavyoendelea basi sasa bila shaka kiu yao itakwisha
Kiufupi ni kwamba mkubwa anaendelea vema tu na wala hana wasiwasi na jana amefunga ndoa na binti wa miaka 25
Ndoa hiyo imefungwa Wilayani Urambo Mkoani Tabora siku ya jana tarehe 17 Februari, 2019
Profesa Kapuya aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Urambo Magharibi na Waziri kwenye Wizara Mbalimbali kwa miaka tofauti, alizaliwa Juni 22, 1945
Katika kudhihirisha usemi wa 'mapenzi hayachagui umri' inadaiwa kuwa binti aliyeolewa na...
- Erythrocyte
- Replies: 529
- Forum: Jukwaa la Siasa
Ndoa ni maelewano Haina umri mahususi,
Kama ndo upo kwenye late 20's tunaamini bado unajijenga kiuchumi na kiutafutaji kwahiyo tuna expect ukifika 35+ utakuwa unajiweza na kujimudu kuhudumia familiaSawa kiongozi kumbe bado nina window kama ya miaka 5 hivi?
Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa.
Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini?
Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa?
Je, ndugu zangu naona umri gani ni mwafaka kuoa, ambao ni mzuri for the betterment of both wanandoa.
Kingine, age gap kati ya mwanaume na mwanamke, mfano ukimzidi mwanamke miaka mingapi inakuwa kero, au yeye akikuzidi mingapi inakuwa shida?
Mimi naonaga maisha kama sio checklist, ya kwamba ukifuata society's way unaweza kupotea pia.
Kuna vijana age mates wangu anavuta majiko kama hawana akili, yaani kama trendi, ila mm ndo hata tayari wenyewe sina kabisa.
Wakubwa zetu Naombeni ushauri mzuri.
Ijumaa njema kwenu.