Kwa maisha ya leo na Industrialization economy, unaweza ukawa fresh na usiwe na kitu, ila unaweza kuwa mzee ndo mambo yakaitika...Kila jambo lina majira na nyakati zake. Kuna kila jambo linafaa kifanyike katika mda wake sahihi, ndio maana utaona mwanamke akifika umri flani anakoma kuzaa. Umri wa kupumzika, umri wa kulea, umri wa kula raha na mke wa ujana wako, hivyo vyote vipindi tofauti.. kwangu umri sahihi wa kuoa ni pale ambapo mwanaume ana mature akili na mfuko upo fresh
π«©π«©π«©Kwa maisha ya leo na Industrialization economy, unaweza ukawa fresh na usiwe na kitu, ila unaweza kuwa mzee ndo mambo yakaitika...
As long as mwanaume ana window kubwa ya kuwa rijali especially kama akitunza mwili wake, kuwa pressured kuoa unaweza poteza kwenye tamani zaidi.
Wanawake wenyewe siku hizi hawaeleweki, unatoa leo kesho mnaachana ya nini usiwe mpole na patient kuji jenga huku ukitafta mtu umtakaye jenga naye maisha?
Hakika Mkuu, well narratedSawa mkuu...
Nimekuwa nikienda vijijini na kukuta vijana Rika langu wanawatoto wakubwa,
Nacho kiona ni kuwa ukisha soma na kujua umuhimu wa maisha bora kwa watoto, unaona kuoa na kuzaa na mtu asiye sahihi ni kuleta mateso kwa viumbe wasio na hatua, ndo maana we think we should make it in life and find the right partner for our kids, but sometimes in hindrances pia.
ANZISHA KWANI NANI ANABISHA!Duuh 70+ yrs mkuu sasa huko si kukaribisha kitu kuu sasa kije tu kile mali zako?
I agree but mimi ni kijana nataka nianzishe familia na ninajua msingi bora wa maisha ni kuwa na familia
π π π π haya ila nzuri kuoa ukiwa na 18.. nyie vijana wa mjini waoga wa maishaKoua in your 20s ni risk mbaya sana hasa kama unaishi na mikiki mikiki ya kujitafuta. Utayaaga mashindano mapema
Kuoa mwanamke wa 36 na kutaka watoto huko ni kuingia risk mbaya sana, Atleast akiwa 30 mpk 33 hvi ila the best choice tafuta akiwa in her early 20s uwe na uhakika wa kupata watoto na familia boraUkumbuke sio kila ndoa inataka watoto; Ndoa nyingine ni kutaka tu mtu wa kuwa naye karibu. Wengine wakiwa na miaka 60 wanaona mke wa miaka 50 nk nk
Au mwanamme akiwa na miaka 42 akaoa mke wa miaka 36 tatizo lipo wapi? Kila umri una watu wake
anaglia tu usije piga nyeto π πHiyo michirizi ikoo soo sexyπ
What do you mean, huoaswi kuoa...Umri sahihi wa kuoa.
Kibaolojia 15.
Kisheria 18.
Kijamii na Kiutamaduni 26.
Kiuchumi 30.
Ila kama una utimamu wa akili haupaswi kabisa kuoa.
Uoga sio kwamba tunaogopa ila unaangalia hali huwezi kuanza kuhudumia mtu na unajua bado hujafikia level hizo, utanyauka na kuzeeka kabla ya muda wakoπ π π π haya ila nzuri kuoa ukiwa na 18.. nyie vijana wa mjini waoga wa maishaView attachment 3677625View attachment 3677626
Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa.
Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini?
Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa?
Je, ndugu zangu naona umri gani ni mwafaka kuoa, ambao ni mzuri for the betterment of both wanandoa.
Kingine, age gap kati ya mwanaume na mwanamke, mfano ukimzidi mwanamke miaka mingapi inakuwa kero, au yeye akikuzidi mingapi inakuwa shida?
Mimi naonaga maisha kama sio checklist, ya kwamba ukifuata society's way unaweza kupotea pia.
Kuna vijana age mates wangu anavuta majiko kama hawana akili, yaani kama trendi, ila mm ndo hata tayari wenyewe sina kabisa.
Wakubwa zetu Naombeni ushauri mzuri.
Ijumaa njema kwenu.
Duuh.. πKuna Mzee wa Kimasai huko Loliondo ana miaka 78 Kavita Binti Mbichi kabisa kamaliza Kidato cha nne Mwaka Jana kwa ndoa ya kimila
Kuna Mzee mwingine yupo Usukumani huko Simiyu ni Msukuma ana umri wa miaka 73 nae kavuta Binti Mbichi kabisa mwenye shape lake la Kisukuma wa miaka 22
Hakuna umri kikomo kikubwa hela iwepo