Hivi kuwa Mlinzi wa Viongozi ni kibali cha kutishia watu kuwaua tu?! Inakera sana!

Hivi kuwa Mlinzi wa Viongozi ni kibali cha kutishia watu kuwaua tu?! Inakera sana!

The grass is always greener on the other side of the fence.

Watu wanadhani hao jamaa wanaenjoy sana,kumbe wana stress za kufa mtu.
 
ni kosa kubwa sana.silaha sio kitu cha kuonyeshea mtu hovyo hovyo kama simu.

huu ushamba ndio ulisababisha majanga kwa konda kutoka kwa marehem ditopile.

watu wameshasahau sasa kama ukiwa mtumishi maana yake raia wa nchi yako ni boss wako,mfalme ama mheshimiwa wako,ndio sababu mwiko namba moja wa askari mlinzi wa nchi ni kumnyooshea bunduki raia mwema,maana ndiye anayemlinda dhidi ya adui.

sasa hawa wahuni wengine sijui mafunzo wanapatia wapi??
 
Hiyo haihusiani na kuwa mlinzi wa viongozi, ni tabia binafsi ya mtu. Huyo ni tabia yake, walinzi wa viongozi wana ethics & discipline ya kiwango cha juu sana hawawatishi wananchi kwa silaha yoyote ile au kutishia kuua, nadhani hujawahi sikia hata siku moja mlinzi wa kiongozi fulani wa juu katishia kuua.. Huyo kama kweli kafanya hivyo, ni tabia yake binafsi na ni kosa
 
naunga hoja mkono.
 
Hamna watu siwapendi kama wavaa Kaunda suti fulani! Yaani akishavaa hio Kaunda suti anajiona yuko juu ya sheria na juu ya kila kitu.
Kabisa aseee..Hapa Dodoma sasaivi ndio wamejaa balaa
 
The grass is always greener on the other side of the fence.

Watu wanadhani hao jamaa wanaenjoy sana,kumbe wana stress za kufa mtu.
Till you get there and see for yourself
Amani wanayoikosa mioyoni mwao ingekua sisi tumeshakata tamaa ya maisha kama si kujifia kabisa
Kiukweli wako tayari kufanya lolote kwa sbb wanajua hatima ya maisha yao ni MBAYA
 
Haka kamsemo nimekaona kwenye mada nyingi sana, kana maana gani?

Tena ni kama kanawekwa kwa kuvizia ama kutelekezwa na mtu mwenye kuzinduka toka usingizini!

Tuseme ni kimsemo kipya cha mjini nini?
Mbona kanakuwa hakana mkia?

Nasemaje, usitufokee!
 
We umesikia wapi?
 
Wengi hawana shule,yale masuti yao yasikitushe....ukitaka kumkomesha na wewe mtishe....Mwambie nitakuripoti huu upuuzi wako kwa mamlaka husika....atakimbia kama mshale.
Unamreport vipi kashakuu?
 
Back
Top Bottom