Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Mi ukiniuliza nipo single au na mahusiano hata sielewi status yangu kwa saiv. Ila na marafiki wengi wa kike ntakaewasiliana nae sana kwa wakati flan ndo atanitatulia changamoto ya upwiru pia wengine nawapata huko nakotafutia mkate wa Kila siku.

Ila kusema na strong relationship hapana tunaponea hvo Kwa marafiki, maex, na wengn kikubwa siku ziende
 
nilifikiri unapandisha bendela kwa mkono mmoja kwa kujichukulia sheria mkononi
 
Back
Top Bottom