Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Idadi ya watu wanao nichukia
Ime kuwa ndogo Sana,
Nahitaji wengine
👉Wanao bana nahitaji wengine, masnitch na wanga nahitaji wengine.
👉Labda Zama zita badilika, so maybe Nita pata challenge pengine.
Poor Brain 🤒
Hiyo verse ya mwisho hiyo weka kama inavyoimbwa mkuu🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom