Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Wewe mlemavuKuwa single ni aina mojawapo ya ulemavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mlemavuKuwa single ni aina mojawapo ya ulemavu
Sawa mkuu, naona Ume change avatar😃nipo mkuu tunapishana majukwani tuh.saivi niko na hawa jamaa wa chadema si unajua bila bakora hawaendi
Ngoja nkatubu dhambi za watoto wa majengo seclaliga hukuwahi kufika
NakaziaKuwa single ni aina mojawapo ya ulemavu
Sa itakuwajeNakazia
Hivyo hivyo tu😃😃Sa itakuwaje
Mwanaume kutoa shit kama hizo haipendezi 🤓🤓🤓🤓🤓🤝It's up to you, Sina nguvu ya kubishana. Wakati hatupipwi
Sio shits, iam just reminding you.Mwanaume kutoa shit kama hizo haipendezi 🤓🤓🤓🤓🤓🤝
😃😃Nakazia
Mkuu upo
Nipo, naona una tukandia ma single🤒Mkuu upo
Mnakuaje ma single umri huo😳🤨Nipo, naona una tukandia ma single🤒
Ujambo mkuu 🤓🤓🙌🙌🤝Halafu Poor Brain tusalimiane, isiwe Kama wote tume shinda kijiweni.
Iam Just Focusing on my goals, sometimes mahusiano jau, naonaga marafiki zangu😃Mnakuaje ma single umri huo😳🤨
Niko fresh, hivyo ndo sahihi.Ujambo mkuu 🤓🤓🙌🙌🤝
Nisamehe mimiNiko fresh, hivyo ndo sahihi.
👉So unakuja kuropoka Kama ume amkia kula mahindi mabichi.
Aisee 😃,, basi sawa😌😌Iam Just Focusing on my goals, sometimes mahusiano jau, naonaga marafiki zangu😃
Madogo ka nyie nang'oa pua.Nisamehe mimi
Nimekosa
Sitorudia tena
🙌🙌🤓🤓🤓🤓🤝
Maisha Yana jau Sana, halafu uje ushindane na binadamu mwenzio mwenye manyoya mwili mzima😃Aisee 😃,, basi sawa😌😌