Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Kuwa single ni aina mojawapo ya ulemavu
Nikiona mtu anawaongelea mbovu walio single, directly najua yupo kwenye gereza la ndoa na kuchomoka hawezi anabaki kuwaonea jealousy anatamani na wao wauvagae mtumbwi wa vibwengo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom