Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Factor ni zile zile mkuu
Low wages
Lack of capital
Famine &hunger
Poor government support
War & diseases
Sina factor hata moja hapo but I'm single and happy, ya kazi gani kufuga ng'ombe akutie stress za kumfuga wakati nikitaka maziwa napata
 
Mi ukiniuliza nipo single au na mahusiano hata sielewi status yangu kwa saiv. Ila na marafiki wengi wa kike ntakaewasiliana nae sana kwa wakati flan ndo atanitatulia changamoto ya upwiru pia wengine nawapata huko nakotafutia mkate wa Kila siku.

Ila kusema na strong relationship hapana tunaponea hvo Kwa marafiki, maex, na wengn kikubwa siku ziende

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipe kadi, nimekipenda chama chako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipe kadi, nimekipenda chama chako
😁😁Hizi mambo siku hz ni kuliana timing tu ukijikuta serious sana na mahusiano utaondoka una hali mbaya sana!!! Mtaanza tu kuchukiana bureeee bora muwe na target ila hampo framed
 
[emoji16][emoji16]Hizi mambo siku hz ni kuliana timing tu ukijikuta serious sana na mahusiano utaondoka una hali mbaya sana!!! Mtaanza tu kuchukiana bureeee bora muwe na target ila hampo framed

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabisa upo km haupo vilee

Kifupi husomeki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabisa upo km haupo vilee

Kifupi husomeki
Uzur wa hyo free style hamna kufungana hata ule utayar wa kuisaidiana kifedha upo kwa sababu urafiki ndiyo bond yenu kuu ngono ni kuchangamsha tu mwili na hata mnapongonoka wote mnaenjoy sana maana inakua mara Moja baada ya mda mrefu, kuliko Ile muwe kwenye uhusiano mnachokana haraka morale ya kudinyana inapungua
 
Na hamna ulazima wa kumpa km hutaki
 
Na hamna ulazima wa kumpa km hutaki
Mi wengi hua tunabebana kimtindo akikwama namsapoti japo sio sheria na hua hawana shida

Mapenzi sio magumu kama tunavoaminishana imagine mtu unatafsir vitu Kwa sheria za kidini, kimila na common sense inategemea nn? We punguza upwiru maintain urafiki mwema saka pesa
 
Back
Top Bottom