Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Wakuu tujuzane hapa , naona Kama nishapitiliza, au niendelee tu kuwa single.

Kuoa au kuolewa is not a switch to flip, is life style, nachokuhakikishia 99.9% ya wadada hujuta kutoolewa at right age, at least below 27.
 
Back
Top Bottom