Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

Mr No fair

Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
84
Reaction score
122
Kwa trends ya mambo yanayoendelea yupi Anahitaji zaidi ndoa kati ya jinsia Mwanamke na jinsia Mwanaume kutokana na kuingia na mambo ya usawa wa kijinsia na uwepo wa tamaduni zetu za kiafrika yupi Anahitaji zaidi ya mwenzake wa kuipata ndoa yupi ana manufaa zaidi ya hiyo ndoa?
 
Kwa trends ya mambo yanayoendelea yupi Anahitaji zaidi ndoa kati ya jinsia KE na jinsia ME kutokana na kuingia na mambo ya usawa wa kijinsia na uwepo wa tamaduni zetu za kiafrika yupi Anahitaji zaidi ya mwenzake wa kuipata ndoa yupi ana manufaa zaidi ya hiyo ndoa?
Ukiongelea mahusiano ya mwanaume na mwanamke kuhusiana na sexually pleasure na utashi wa kujenga familia, wote wawili ni wahitaji.

Lakini ukiongelea ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume ulipewa jina la ndoa bila shaka mhitaji mkubwa zaidi ni mwanamke kwa sababu ndie anaenufaika nao.
 
Kwa trends ya mambo yanayoendelea yupi Anahitaji zaidi ndoa kati ya jinsia KE na jinsia ME kutokana na kuingia na mambo ya usawa wa kijinsia na uwepo wa tamaduni zetu za kiafrika yupi Anahitaji zaidi ya mwenzake wa kuipata ndoa yupi ana manufaa zaidi ya hiyo ndoa?
Kwani jogoo na tetea yupi humkimbiza mwenzake
Tuanziea hapo
 
1000012849.jpg
 
Kwa trends ya mambo yanayoendelea yupi Anahitaji zaidi ndoa kati ya jinsia KE na jinsia ME kutokana na kuingia na mambo ya usawa wa kijinsia na uwepo wa tamaduni zetu za kiafrika yupi Anahitaji zaidi ya mwenzake wa kuipata ndoa yupi ana manufaa zaidi ya hiyo ndoa?
Ndoa ni tendo takatifu na si hitaji la kimwili kwamba ufanye ulinganifu kati ya jinsia
 
Kwa trends ya mambo yanayoendelea yupi Anahitaji zaidi ndoa kati ya jinsia KE na jinsia ME kutokana na kuingia na mambo ya usawa wa kijinsia na uwepo wa tamaduni zetu za kiafrika yupi Anahitaji zaidi ya mwenzake wa kuipata ndoa yupi ana manufaa zaidi ya hiyo ndoa?
Una wazazi? Au mwenzetu ulianguliwa?
 
Back
Top Bottom