Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

Ukiongelea mahusiano ya mwanaume na mwanamke kuhusiana na sexually pleasure na utashi wa kujenga familia, wote wawili ni wahitaji.

Lakini ukiongelea ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume ulipewa jina la ndoa bila shaka mhitaji mkubwa zaidi ni mwanamke kwa sababu ndie anaenufaika nao.
Jibu la kitaalamu kabisa
 
Kikubwa ni familia kaka, ila ndoa nI mtiani kwakweli
Familia Ili iweje Sasa? Kuna aina za familia pia ambazo sio lazima uwe umeoa au kuolewa na ukawa na familia Kwa nijuavyo mtoto na baba/mama pia ni familia Sasa sijui una maanisha nini?
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba wanao nizunguka (ndugu jamaa na marafiki) ndio wanauitaji mkubwa maana kila siku wananiuliza mbona auoi?
Unaohisi kwanini? Sio kwamba tumemezeshwa na wazungu mikataba hii ya ndoa ?
 
Back
Top Bottom