Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Jibu la kitaalamu kabisaUkiongelea mahusiano ya mwanaume na mwanamke kuhusiana na sexually pleasure na utashi wa kujenga familia, wote wawili ni wahitaji.
Lakini ukiongelea ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume ulipewa jina la ndoa bila shaka mhitaji mkubwa zaidi ni mwanamke kwa sababu ndie anaenufaika nao.
Kikubwa ni familia kaka, ila ndoa nI mtiani kwakweliKwangu mi motive ni familia𤣠si vinginevyo
Nimeuliza TU by the story kuhusu hii inshu na wazazi wangu hii ni mada nyingine nitakuja nayo piaUna wazazi? Au mwenzetu ulianguliwa?
Familia Ili Iweje?Kwangu mi motive ni familia𤣠si vinginevyo
Familia Ili iweje Sasa? Kuna aina za familia pia ambazo sio lazima uwe umeoa au kuolewa na ukawa na familia Kwa nijuavyo mtoto na baba/mama pia ni familia Sasa sijui una maanisha nini?Kikubwa ni familia kaka, ila ndoa nI mtiani kwakweli
Unaohisi kwanini? Sio kwamba tumemezeshwa na wazungu mikataba hii ya ndoa ?Kwa uzoefu wangu ni kwamba wanao nizunguka (ndugu jamaa na marafiki) ndio wanauitaji mkubwa maana kila siku wananiuliza mbona auoi?
Kabla awajaja tulikua tunaoa mkuuUnaohisi kwanini? Sio kwamba tumemezeshwa na wazungu mikataba hii ya ndoa ?
Utazikwa na gunzi mkoonduniFamilia Ili Iweje?