Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.

Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.

Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!

Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nini? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nini usichokijua?
 
Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.

Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba amabaye hanajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.

Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!

Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nn? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nn usichokijua?
Lengo la ndoa sio hilo lengo la ndoa ni kuunganisha kizazi kimoja na kizazi kingine na ndio maana kwenye ndoa unaweza ukaona wanandoa wema wanapata uzao usio na baraka halafu wanandoa wa ajabu ajabu wanapata kizazi cha baraka ukitaka kujua ndoa ni zaidi ya sex angalia,

Mke wa nabii lutwi
Mke wa firauni

Hiyo ni mifano tu hvyo mnaweza mkakutana wanandoa ambao hampendani au hamuendani ila mungu ndo kapanga muzae mtoto aje awe magufuli, mwakasege,kishiki au mama samia hvyo ndoa inapangwa mbinguni sisi tunatimiza tu ahadi yake.
 
Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.

Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba amabaye hanajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.

Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!

Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nn? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nn usichokijua?
Okeee

Kwani biblia inasemaje??

Je ukizeeka nani atakupeleka hospitali kama sio mkeo??
 
Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.

Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba amabaye hanajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.

Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!

Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nn? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nn usichokijua?
Inaonekana ndio kwanza imebalehe.
 
Wanasema " ya kale ni dhahabu" na wewe umesema " ndoa ni mambo ya zama za kale." Bas kumbe ndoa itakuwa ni dhahabu.

Hizo tabia unazoziona sasa ni matokeo ya malezi mabovu kutoka kwenye ndoa/familia hizo za zaman kutowapa watoto wao malezi yayanozingatia hali Haris ya sasa
 
Waraka wa Waebrania 13:4

Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Ni kosa kubwa sana na upungufu wa hekima kudhani kwamba uzinzi ndiyo dhambi pekee ya kuepukwa.

Wana ndoa hawatendi dhambi nyingine? Au unadhani wataiona pepo kwa kuwa tu wako kwenye ndoa?
 
Dhambi zote zinatendwa nje ya mwili,lkn dhbi ya zinaa inafanywa Kwa kushorikisha miili na kuingiliana tupu zenu..umejifunza nn hapo?
 
Kwa Mungu hakuna grade ya dhambi (dhambi zote zina uzito sawa)
 
Unaifahamu vema tafsiri ya neno malaya? Au unabwatuka tu? Na unadhani umalaya unakomeshwa na ndoa?
Kwa hiyo wana ndoa wana tabia za kimalaya malaya au unabwatuka tu? 😳
 
Back
Top Bottom