Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.

Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.

Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!

Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nini? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nini usichokijua?
Humu kuna matapeli wa mapenzi, masingo daima, waliyoowa na wasiyoowa. Tunaheshimu mawazo yako.Ila waliyoamuwa kuoa na kuolewa wacha wasongembele.
 
Lengo la ndoa sio hilo lengo la ndoa ni kuunganisha kizazi kimoja na kizazi kingine na ndio maana kwenye ndoa unaweza ukaona wanandoa wema wanapata uzao usio na baraka halafu wanandoa wa ajabu ajabu wanapata kizazi cha baraka ukitaka kujua ndoa ni zaidi ya sex angalia,

Mke wa nabii lutwi
Mke wa firauni

Hiyo ni mifano tu hvyo mnaweza mkakutana wanandoa ambao hampendani au hamuendani ila mungu ndo kapanga muzae mtoto aje awe magufuli, mwakasege,kishiki au mama samia hvyo ndoa inapangwa mbinguni sisi tunatimiza tu ahadi yake.
Magufuli mtoe kwenye list, mtoa mada kaongelea ndoa hajaongelea kuzaa,tuzae ila mambo ya kuoan no
 
Kwakweli labda kama ndoa ina misukosuko lakini kwa mtu kama mimi ndoa ni tamu kila siku ni wapya tu
 
Nyakati za mwisho kutatokea watu wa ajabu sana wakiwazuia watu wasioe.
Angalia usiwe unatamiza unabii.
 
Kwakweli labda kama ndoa ina misukosuko lakini kwa mtu kama mimi ndoa ni tamu kila siku ni wapya tu
Aah Wapi. Unausemea moyo wa mwenzako pia?

Usikute mwenzio anapanga kukuwekea hata sumu ufe. Kwenye ndoa ukiona una-enjoy ujue mwenzako anaumia sana kwa kuvumilia madhaifu yako ndiyo maana una-enjoy.

Kama lengo la ndoa ni kunyabduana kwann msinyanduane tu halafu kila mtu akaendelea na hamsini zake?
 
Sasa utafanyaje umalaya malaya wakati una goma lako home?

Jaribu kufanya tafakari mkuu
Nchi nzima ya Tanzania, zinazoitwa "nyumba ndogo" au kule Kenya "mpango wa kando"zinamilikiwa na walio ndani ya ndoa.
 
Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.

Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.

Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!

Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nini? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nini usichokijua?
IMG_20220601_222608.jpg
 
Unapima wap huo uzito??
Umejuaje hakuna grade?? Hadi unabisha?
Umefika huko ukaona??
Hata wewe unaweza kujua kupitia maandiko mkuu. Soma misahafu utayajua
 
Back
Top Bottom