Modestproposal
Senior Member
- Jan 6, 2022
- 127
- 228
Wewe unataka tuwe na taifa la kimalaya malaya sio! Ndoa ni msingi wa familia bora. How can we raise the up coming generation with this attitude? Hata masharti ya kuwa rais wa nchi sharti uwe umeoa au kuolewa,wajua ni kwa nini?we kalia ngono sasa!Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.
Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.
Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!
Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nini? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nini usichokijua?
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app