Lengo la ndoa sio hilo lengo la ndoa ni kuunganisha kizazi kimoja na kizazi kingine na ndio maana kwenye ndoa unaweza ukaona wanandoa wema wanapata uzao usio na baraka halafu wanandoa wa ajabu ajabu wanapata kizazi cha baraka ukitaka kujua ndoa ni zaidi ya sex angalia,Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.
Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba amabaye hanajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.
Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!
Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nn? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nn usichokijua?
Tofautisha kuzaa na ndoa. Mm sijakataa suala la kuzaa. Liendelee kuwepo lkn siyo lazima lifanyike kwenye ndoaila mungu ndo kapanga muzae
OkeeeNaomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.
Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba amabaye hanajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.
Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!
Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nn? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nn usichokijua?
Biblia inasema " amelaaniwa mtu yule amtegemea mwandamu".Je ukizeeka nani atakupeleka hospitali kama sio mkeo??
Kwa hiyo unafagilia tabia za kimalaya malaya?Biblia inasema " amelaaniwa mtu yule amtegemea mwandamu".
Una uhakika gani kwamba atakuwepo wakati wewe ukiwa mzee?
Unaifahamu vema tafsiri ya neno malaya? Au unabwatuka tu? Na unadhani umalaya unakomeshwa na ndoa?Kwa hiyo unafagilia tabia za kimalaya malaya?
Inaonekana ndio kwanza imebalehe.Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.
Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba amabaye hanajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.
Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila wakati tena kirahisi kabisa.....kwa njia ya simu na kuna apps chungu nzima. Uroda nje nje!!
Haya katika mazingira kama haya ndoa ya nn? Unaingia kwenye ndoa ukagundue nn usichokijua?
Inaonekana ndio kwanza imebalehe.
Hawa ni watanzania, huo ujumbe ni kwa WaebraniaWaraka wa Waebrania 13:4
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Ni kosa kubwa sana na upungufu wa hekima kudhani kwamba uzinzi ndiyo dhambi pekee ya kuepukwa.Waraka wa Waebrania 13:4
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Dhambi zote zinatendwa nje ya mwili,lkn dhbi ya zinaa inafanywa Kwa kushorikisha miili na kuingiliana tupu zenu..umejifunza nn hapo?Ni kosa kubwa sana na upungufu wa hekima kudhani kwamba uzinzi ndiyo dhambi pekee ya kuepukwa.
Wana ndoa hawatendi dhambi nyingine? Au unadhani wataiona pepo kwa kuwa tu wako kwenye ndoa?
Kwa Mungu hakuna grade ya dhambi (dhambi zote zina uzito sawa)Dhambi zote zinatendwa nje ya mwili,lkn dhbi ya zinaa inafanywa Kwa kushorikisha miili na kuingiliana tupu zenu..umejifunza nn hapo?
Kwa hiyo wana ndoa wana tabia za kimalaya malaya au unabwatuka tu? 😳Unaifahamu vema tafsiri ya neno malaya? Au unabwatuka tu? Na unadhani umalaya unakomeshwa na ndoa?
Ndiyo kusema umalaya haufanywi na wanandoa? Kuwa serious basi mkuuKwa hiyo wana ndoa wana tabia za kimalaya malaya au unabwatuka tu? 😳