Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

Humu kuna matapeli wa mapenzi, masingo daima, waliyoowa na wasiyoowa. Tunaheshimu mawazo yako.Ila waliyoamuwa kuoa na kuolewa wacha wasongembele.
 
Magufuli mtoe kwenye list, mtoa mada kaongelea ndoa hajaongelea kuzaa,tuzae ila mambo ya kuoan no
 
Kwakweli labda kama ndoa ina misukosuko lakini kwa mtu kama mimi ndoa ni tamu kila siku ni wapya tu
 
Nyakati za mwisho kutatokea watu wa ajabu sana wakiwazuia watu wasioe.
Angalia usiwe unatamiza unabii.
 
Kwakweli labda kama ndoa ina misukosuko lakini kwa mtu kama mimi ndoa ni tamu kila siku ni wapya tu
Aah Wapi. Unausemea moyo wa mwenzako pia?

Usikute mwenzio anapanga kukuwekea hata sumu ufe. Kwenye ndoa ukiona una-enjoy ujue mwenzako anaumia sana kwa kuvumilia madhaifu yako ndiyo maana una-enjoy.

Kama lengo la ndoa ni kunyabduana kwann msinyanduane tu halafu kila mtu akaendelea na hamsini zake?
 
Sasa utafanyaje umalaya malaya wakati una goma lako home?

Jaribu kufanya tafakari mkuu
Nchi nzima ya Tanzania, zinazoitwa "nyumba ndogo" au kule Kenya "mpango wa kando"zinamilikiwa na walio ndani ya ndoa.
 
 
Unapima wap huo uzito??
Umejuaje hakuna grade?? Hadi unabisha?
Umefika huko ukaona??
Hata wewe unaweza kujua kupitia maandiko mkuu. Soma misahafu utayajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…