Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

Wewe unataka tuwe na taifa la kimalaya malaya sio! Ndoa ni msingi wa familia bora. How can we raise the up coming generation with this attitude? Hata masharti ya kuwa rais wa nchi sharti uwe umeoa au kuolewa,wajua ni kwa nini?we kalia ngono sasa!

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
?Hata masharti ya kuwa rais wa nchi sharti uwe umeoa au kuolewa,wajua ni kwa nini?
Nchi gani unaongelea??
Kwa hapa Tanzania sifa za kugombea urais ni kama zilivyobainishwa na katiba hapa chini. Hiyo ya ndoa haipo.


 
Ndoa ni taasisi, iheshimiwe na kufuatwa.

Vipi tufute taasisi ya uraisi kwa sababu sasa hivi kila mtu anaweza kujiongoza?
 
Nimeishia hapo uliposema ndoa ni uroda. Una umri gani mkuu? Sore lakini
 
Tunajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…