wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?
Binafsi ningekuwepo nisingekula
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?
Binafsi ningekuwepo nisingekula