Hivi kwa haraka haraka ng'ombe 400 watakua ni bei gani

Hivi kwa haraka haraka ng'ombe 400 watakua ni bei gani

Kama ni wale Ankole (wenye pembe ndefu na hawana nundu). Gharama yake ni kwenye sh 320m kwa wastani wa sh 800,000 /= kila ng'ombe na kama ni hawa Zebu (wenye nundu na umbile dogo na pembe fupi) ni sh 200 m. Kwa wastani wa sh 500, 000/= kwa ng'ombe. Bei hizi ni huko poli la Buligi.
Kumbe mkuu huko burigi wanapatikana kwa uwingi?
 
Kwa bashite kutoa 200m mpaka 320m kutoka mfukoni mwake ni kawaida maana kwake ni pesa ndogo sana.
 
1 × 400 = mil 400

Binafsi nimechukizwa na hili jambo najua kuna watu wamapitia changamoto angeweza kuwatakatia hata Bima za Afya kuliko kuchoma Nyama ambayo mtu anakula na kesho anaamka na njaa.


Tunaharibu sana pesa kiukweli ni vile hatuna visionary leaders


View attachment 3262906
Kuna muda wa bima na muda wa nyama. Acha watu wale nyama
 
Kila ng'ombe 1 milion,penshen ya ubunge ni 275milion,pesa ya ng'ombe inazid peshen,Kinatafutwa nini?Ubunge then uwaziri,good maesabu
 
Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.

Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?

Binafsi ningekuwepo nisingekula
40M
 
Back
Top Bottom