Hivi kwa haraka haraka ng'ombe 400 watakua ni bei gani

Hivi kwa haraka haraka ng'ombe 400 watakua ni bei gani

1 × 400 = mil 400

Binafsi nimechukizwa na hili jambo najua kuna watu wamapitia changamoto angeweza kuwatakatia hata Bima za Afya kuliko kuchoma Nyama ambayo mtu anakula na kesho anaamka na njaa.

Tunaharibu sana pesa kiukweli ni vile hatuna visionary leaders

FB_IMG_17413379379443059.jpg
 
bei ya chini milioni na ukiweka pesa ya serikali inakuwa kila pesa ya ng'ombe na washenzi ni milioni 3
Sasa fanya mar 400 hiyo hela yote hata kama ni mshahara wake bado nyingi mno hugu inatakiwa takukuru ikamhoji kaipata wapi hela yote hiyo
 
Sasa fanya mar 400 hiyo hela yote hata kama ni mshahara wake bado nyingi mno hugu inatakiwa takukuru ikamhoji kaipata wapi hela yote hiyo
2025 RUSHWA TAKO KUNGURU AKA TAKUKURU WIZI NI SABABU NI CCM
 
Back
Top Bottom