Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa wanajua kufanya kazi na serikali ya ccm ndio watajua ila wale wasio fahamu wataimba kama kwaya zabron ya hupo single.Kwa kweli takukuru ilitakiwa iingilie kati
Kwa bei ya magadala yaweza kuwa Tsh. 160,000,000/-.Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?
Binafsi ningekuwepo nisingekula
Wanazidi ng'ombe hadi milioni na laki 3 huko hiyo bei unayosemani bei ya ndama wa miezi 5 mpaka 6Kama ni wale Ankole (wenye pembe ndefu na hawana nundu). Gharama yake ni kwenye sh 320m kwa wastani wa sh 800,000 /= kila ng'ombe na kama ni hawa Zebu (wenye nundu na umbile dogo na pembe fupi) ni sh 200 m. Kwa wastani wa sh 500, 000/= kwa ng'ombe. Bei hizi ni huko poli la Buligi.
darasa la milioni 10 likoje ndugu au unazungumzia tundu la chooLabda kama ni ndama, ng'ombe kweli kweli ni milioni 1
1×400= 400m
Madarasa 40 ya shilingi milioni 10@
Hakuna mnada wa bei ya jumla ya namna hiyo Tz.Labda kama ni ndama, ng'ombe kweli kweli ni milioni 1
1×400= 400m
Madarasa 40 ya shilingi milioni 10@
Watu hawajui wanakula tu,😁Nyama za tambiko la uchaguzi.
Wewe ni mmoja ya wanufaika wa ccm.mada zako nyingi nimekuchambua kama AI.Wengi humu wajinga sana. Hao ng'ombe hanunui makonda, kama chadema wanavyochanga wengine hadi milioni tone tone, na hivo hivo ndio makonda, wapo wakina dons lounge, aces, wako wakina geordavie, wapo wenye arusha yao. Bro ng'ombe 400 wanapatikana tena wachache. Makonda ana watu zaidi ya hao, watu wazito tena wazito saaaana.
Kuna watu hizi kashkash wanazipenda. Acheni ushamba.
Mnapiga hesabu eti ng'ombe sijui, bei gani? Mara ingejengewa hospitali😂😂😂😂😂.
Watu bwana.
mfano Ng'ombe mmoja akawa ana bei ya Tsh laki 2..ela ndogo sana haijengi ata nyumba
Tajiri, yaani wewe huna la kuniambia mimi, obvious mimi ni ccm, leo mpaka kufs kwangu. And i am proud kuwa chama hiki. Sema usemavyo, wewe huna la kuniambia, na sijamtetea makonda au kumuongelea kwasababu mimi ni ccm au yeye ni ccm.Wewe ni mmoja ya wanufaika wa ccm.mada zako nyingi nimekuchambua kama AI.
Na pili ujifanya kama unachangamoto kujifanya wengine wanapitia kumbe sio katika utafutaji.
mfano Ng'ombe mmoja akawa ana bei ya Tsh laki 2..
Kwa 400 inakuwa ni Milioni 80..
Anyway nisikuchulie serious sana maana wanasema kwenye watanzania wanne mmoja ana ugonjwa wa Akili.
KabisaIla makonda Kama muhaya 🙌🏾
Siyo hela ya umma, ni wadau wake, kwa Arusha hiyo ni issue ndogo ku-organise, hata kama ni ya serikali ni ka hela kadogo sana,Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?
Binafsi ningekuwepo nisingekula
Hilo darasa la 10m ni darasa au hema?Labda kama ni ndama, ng'ombe kweli kweli ni milioni 1
1×400= 400m
Madarasa 40 ya shilingi milioni 10@