bei ya chini milioni na ukiweka pesa ya serikali inakuwa kila pesa ya ng'ombe na washenzi ni milioni 3Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?
Binafsi ningekuwepo nisingekula
Kakadiria laki 5Kwa kila mmoja bei bei gani mi sijaenda shule
chukua hiyo 200mil aliyosema jamaa gawanya kwa hao ng‘ombe hao 400 utapata jibuKwa kila mmoja bei bei gani mi sijaenda shule
roughly 500,000Kwa kila mmoja bei bei gani mi sijaenda shule
Kama ni wale Ankole (wenye pembe ndefu na hawana nundu). Gharama yake ni kwenye sh 320m kwa wastani wa sh 800,000 /= kila ng'ombe na kama ni hawa Zebu (wenye nundu na umbile dogo na pembe fupi) ni sh 200 m. Kwa wastani wa sh 500, 000/= kwa ng'ombe. Bei hizi ni huko poli la Buligi.Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?
Binafsi ningekuwepo nisingekula
wamekosa ngamia na samaki wa bahariKitimoto hAkuna?
We kale nyama.Maswali mengi ya nini?Ingekuwa kuku hapo usingeuliza.Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?
Binafsi ningekuwepo nisingekula
Pls jane not today...mwezi wa toba huuKitimoto hAkuna?
Uongoela ndogo sana haijengi ata nyumba