Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,527
Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi inaongozwaje ongozwaje hadi kupatikane viongozi wengine naomba kujua/fundishwa
 
Bro katiba ya nchi ipo vizuri mno imetoa maelekezo ya kila hatua unayoielezea,tujifunze kusoma katiba
 
Ina maana magufuli kafa hujajifunza chochote au upo Tanzania gani ndugu
Sikuelewi kwa kweli ebu soma vizuri.
Ninesema Rais "akadhibitisha makamu wake kajiudhulu" tayari hapo makamu hatupo tena alafu kabla rais hajateua makamu wake rais nae akafa.
Hapo tayari hawapo wote.
Namaanisha hivyo je uchaguzi utarudiwa kuoiga kura au inakuwaje
 
E1. RAIS
E2. MAKAMU
E3. WAZIRI MKUU
E4. RAIS WA ZANZBAR
Kwa maana rais na makamu wa rais wasipokuwepo wote nchi itakua chini ya waziri mkuu
 
Back
Top Bottom