Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi inaongozwaje ongozwaje hadi kupatikane viongozi wengine naomba kujua/fundishwa
In the absence of the Hon President and the Vice President, definatelly Prime Minister will take Over
 
Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi inaongozwaje ongozwaje hadi kupatikane viongozi wengine naomba kujua/fundishwa
Wamekanusha hivyo yupo...!
 

Attachments

  • HQk8NdxWUAAauQp.jpg
    HQk8NdxWUAAauQp.jpg
    153.4 KB · Views: 5
Kama walivyoamua kupora uchaguzi na uhai wa Watanzania kwa niaba ya CCM
 
Ina maana magufuli kafa hujajifunza chochote au upo Tanzania gani ndugu
Elewa swali usikurupuke. Mwanabodi kauliza kama VP kajiuzuru na Rais hajateuwa mwingine halafu afe ghafla kabla ya kumteuwa makamu, nchi itaongozwa na Nani?
Yaani kwa sasa Nchimbi kajiuzuru na Samia afe kabla hajateuwa kabudi kuwa makamu wa Rais Nani ataongoza nchi?
 
Toka leo hadi Tar 04 lolote likitokea je itakuaje??
 
Back
Top Bottom