Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Anaachia Zanzibar
Kwa hiyo ataongoza huku na kule
Kwa hiyo ataongoza huku na kule
Inasemaje kiongoziHaisemi hivyo mkuu
🤣Magoti😆
Itaongozwa na furaha, shangwe na vigeregereSory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi inaongozwaje ongozwaje hadi kupatikane viongozi wengine naomba kujua/fundishwa
Wakifa wote hao je Hadi CDF akifa?E1. RAIS
E2. MAKAMU
E3. WAZIRI MKUU
E4. RAIS WA ZANZBAR
Kwa maana rais na makamu wa rais wasipokuwepo wote nchi itakua chini ya waziri mkuu
Wewe ndiye hujaelewa swali lake.Ina maana magufuli kafa hujajifunza chochote au upo Tanzania gani ndugu
Waziri Mkuu anakuwa kiongozi wa nchi kama Rais na Makamu wake hawapo ofisini.Inasemaje kiongozi
Nchi itaongozwa na Mchemba mkuu.Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi inaongozwaje ongozwaje hadi kupatikane viongozi wengine naomba kujua/fundishwa
Mnadai katiba mpya halafu hamjui kilichopo kwenye katiba ya sasa. Pumbavu sana nyie. Kasome katiba shenzi.Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi inaongozwaje ongozwaje hadi kupatikane viongozi wengine naomba kujua/fundishwa
Kasome upya katiba ujinga ukutoke. Kama Rais na makamu hawapo atakayeongoza kwa muda ni Spika wa Bunge.E1. RAIS
E2. MAKAMU
E3. WAZIRI MKUU
E4. RAIS WA ZANZBAR
Kwa maana rais na makamu wa rais wasipokuwepo wote nchi itakua chini ya waziri mkuu
Tunaomba itokeeSory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi inaongozwaje ongozwaje hadi kupatikane viongozi wengine naomba kujua/fundishwa