Hili linaweza kuwa jibuMakamu wa Rais anakuwa Rais kwa sababu mchakato wa kuondoka kwake haujakamilika
Bro katiba ya nchi ipo vizuri mno imetoa maelekezo ya kila hatua unayoielezea,tujifunze kusoma katibaSory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi inaongozwaje ongozwaje hadi kupatikane viongozi wengine naomba kujua/fundishwa
Makamu wa Rais atasema alinukuliwa vibayaSory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki
Kabla ya speaker ni waziri mkuu. Na spraker ata act tu kwa miezi mitatu kisha uchaguzi uitishwe. Ila waziri mkuu atakuwa raisi kamili na atateua makamu na waziri mkuu wake.Sabufa wa bunge
Kabla ya speaker ni waziri mkuu. Na spraker ata act tu kwa miezi mitatu kisha uchaguzi uitishwe. Ila waziri mkuu atakuwa raisi kamili na atateua makamu na waziri mkuu wake.Sabufa wa bunge
Sikuelewi kwa kweli ebu soma vizuri.Ina maana magufuli kafa hujajifunza chochote au upo Tanzania gani ndugu
E1. RAISSikuelewi kwa kweli ebu soma vizuri.
Ninesema Rais "akadhibitisha makamu wake kajiudhulu" tayari hapo makamu hatupo tena alafu kabla rais hajateua makamu wake rais nae akafa.
Hapo tayari hawapo wote.
Namaanisha hivyo je uchaguzi utarudiwa kuoiga kura au inakuwaje