Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

Ana akiba kubwa ya watu akiwemo DC wa Kisarawe
Samwel Sitta alisema nchi imeshikwa na kikundi cha watu 10
 
Itaongozwa na makamu aliyemteua yeye! Halafu wananchi wanapohitaji katiba mpya kuna watu wanasema katiba siyo takwa la msingi! Kwa uozo wa aina hii!!

Yaani makamu anapitishwa na mkutano mkuu wa chama chake, halafu kirahisi anaandika barua ya kujiizulu na Rais anamteua makamu mwingine!!! Huu no udhaifu mkubwa kwenue Katiba yetu.

Hata kipengele cha makamu kuongoza mpaka uchaguzi ujao kinatakiwa kufutwa. Badala yake ndani ya siku 90 baada ya kifo cha Rais, mchakato wa uchaguzi ungefanyika upya.
 
kuna watu kwa sauti ya ndani wanasema (tunaombea)

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Japo umejaribu lakini hap namaanisha Rais akashadhibitisha makamu wake kajiudhulu na hapo hapo rais kabla hajateua mwingne nae akafa hapa ndo nauliza inafanyika mchakato wa uongozi kuapata wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…