Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

Itaongozwa na furaha, shangwe na vigeregere
 
Inasemaje kiongozi
Waziri Mkuu anakuwa kiongozi wa nchi kama Rais na Makamu wake hawapo ofisini.
Haijasema ikiwa wamekufa itakuwaje na haisemi kama Spika atashika kiti chao.
Katiba haikuanticipate Rais na Makamu kutokuwepo kwa wakati mmoja ofisini kwa sababu ya kifo au sababu zingine.
Lakini bado nchi itakuwa chini ya waziri Mkuu.
 
Nchi itaongozwa na Mchemba mkuu.
 
Mnadai katiba mpya halafu hamjui kilichopo kwenye katiba ya sasa. Pumbavu sana nyie. Kasome katiba shenzi.
 
E1. RAIS
E2. MAKAMU
E3. WAZIRI MKUU
E4. RAIS WA ZANZBAR
Kwa maana rais na makamu wa rais wasipokuwepo wote nchi itakua chini ya waziri mkuu
Kasome upya katiba ujinga ukutoke. Kama Rais na makamu hawapo atakayeongoza kwa muda ni Spika wa Bunge.
 
Tunaomba itokee


CCM Kwishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…