kwamba value ya ID Tz n ndogo auKupata leseni ya udereva USA ni sawa kuwa na ID card ya tanzania
Hapana ID na Driving license kwa kule imefanywa ni kitu kimoja, badala ya kutoa kitambulisho cha mtanzania peke na leseni pekee.kwamba value ya ID Tz n ndogo au
na SSN ni ya nnHapana ID na Driving license kwa kule imefanywa ni kitu kimoja, badala ya kutoa kitambulisho cha mtanzania peke na leseni pekee.
Wao wamefanya kama umefika 15 baadhi ya state unakwenda DMV unafanya mtihani kwenye computer, ukipasi unapata permit ya mwaka. Halafu ukiwa tayari unakwenda kwa driving test ukipasi unapata leseni. Hii leseni ndio kitambulisho chako cha kila sehemu. Hata Kama unataka kupanda ndege ndani ya marekani unatumia hiohio, lakini sasa hivi nadhani wametoa wanaita Real ID hii unasafiri nayo pia unaingia nayo kwenye federal building zote.
Wao wamefanya ushirikiano wa DMV,Social Security department na Immigration office. Kwahio wakikuangalia kwenya data zao washakujua wewe nani.
Social Security number ni namba kama ile ya NIDA hio namba inakuwa ni yako wewe tu. Wadutch wao wanaita Sociale Verzekeringsbank, or SVB.na SSN ni ya nn
Pamoja na sielewi ulichoandiks.napenda kukujulisha kuwa vitambulusho vikuu vinavyokubalika taasisi za nchi nyingi in no particular order niLeseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania.
Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
Sasa ujaelewa nini wakati nimesema ilo ilo DLPamoja na sielewi ulichoandiks.napenda kukujulisha kuwa vitambulusho vikuu vinavyokubalika taasisi za nchi nyingi in no particular order ni
1. Passport
2.Drivers license
3. National ID
Nchi nyingi ukiombwa kitambulisho bank au sehemu yoyote ukitoa kimoja kati ya hivyo kinakubalika. Unaona watu US wanatumia sana DL kwasababu mara nyingi watu wanatembea na DL kuliko PP
Ndivyo inavyotakiwa. Taasisi zote za umma zinatakiwa kusomana.Hapana ID na Driving license kwa kule imefanywa ni kitu kimoja, badala ya kutoa kitambulisho cha mtanzania peke na leseni pekee.
Wao wamefanya kama umefika 15 baadhi ya state unakwenda DMV unafanya mtihani kwenye computer, ukipasi unapata permit ya mwaka. Halafu ukiwa tayari unakwenda kwa driving test ukipasi unapata leseni. Hii leseni ndio kitambulisho chako cha kila sehemu. Hata Kama unataka kupanda ndege ndani ya marekani unatumia hiohio, lakini sasa hivi nadhani wametoa wanaita Real ID hii unasafiri nayo pia unaingia nayo kwenye federal building zote.
Wao wamefanya ushirikiano wa DMV,Social Security department na Immigration office. Kwahio wakikuangalia kwenya data zao washakujua wewe nani.
kuna tofauti kati ya hata na ataNyani ngabu hata kujibu mtag