Hivi kwa nini kitambulisho cha taifa Tanazania kwa USA ni sawa na leseni ya udereva wakati leseni ya kwao imebeba mambo mengi kuliko sisi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Leseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania.

Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
 
umeandika kiufupi sana kama vile sote tunaishi marekani!, leta hizo tofauti
 
kichwa cha habari ni kirefu kuliko maelezo duh
 
kwamba value ya ID Tz n ndogo au
Hapana ID na Driving license kwa kule imefanywa ni kitu kimoja, badala ya kutoa kitambulisho cha mtanzania peke na leseni pekee.

Wao wamefanya kama umefika 15 baadhi ya state unakwenda DMV unafanya mtihani kwenye computer, ukipasi unapata permit ya mwaka. Halafu ukiwa tayari unakwenda kwa driving test ukipasi unapata leseni. Hii leseni ndio kitambulisho chako cha kila sehemu. Hata Kama unataka kupanda ndege ndani ya marekani unatumia hiohio, lakini sasa hivi nadhani wametoa wanaita Real ID hii unasafiri nayo pia unaingia nayo kwenye federal building zote.

Wao wamefanya ushirikiano wa DMV,Social Security department na Immigration office. Kwahio wakikuangalia kwenya data zao washakujua wewe nani.
 
na SSN ni ya nn
 
Leseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania.

Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
Pamoja na sielewi ulichoandiks.napenda kukujulisha kuwa vitambulusho vikuu vinavyokubalika taasisi za nchi nyingi in no particular order ni
1. Passport
2.Drivers license
3. National ID

Nchi nyingi ukiombwa kitambulisho bank au sehemu yoyote ukitoa kimoja kati ya hivyo kinakubalika. Unaona watu US wanatumia sana DL kwasababu mara nyingi watu wanatembea na DL kuliko PP
 
Sasa ujaelewa nini wakati nimesema ilo ilo DL
 
Hapana ID na Driving license kwa kule imefanywa ni kitu kimoja, badala ya kutoa kitambulisho cha mtanzania peke na leseni pekee.

Wao wamefanya kama umefika 15 baadhi ya state unakwenda DMV unafanya mtihani kwenye computer, ukipasi unapata permit ya mwaka. Halafu ukiwa tayari unakwenda kwa driving test ukipasi unapata leseni. Hii leseni ndio kitambulisho chako cha kila sehemu. Hata Kama unataka kupanda ndege ndani ya marekani unatumia hiohio, lakini sasa hivi nadhani wametoa wanaita Real ID hii unasafiri nayo pia unaingia nayo kwenye federal building zote.

Wao wamefanya ushirikiano wa DMV,Social Security department na Immigration office. Kwahio wakikuangalia kwenya data zao washakujua wewe nani.
Ndivyo inavyotakiwa. Taasisi zote za umma zinatakiwa kusomana.
 
Back
Top Bottom