Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Robert Heriel aje atoe tafsiri nyepesi ya maana ya maneno ufala na fala
🤣🤣Mfano unafuga n'gombe wako wa maziwa,unamlisha vizuri,misosi mizuri,unazingatia matibabu hata kumwogesha unamwogesha ili upate maziwa siku ukihitaji,halafu siku Moja n'gombe wako anaamua kwenda kwa mlugaluga mmoja awe anamkamua Bure kabisa,mluga luga ataacha kutamba?
Wanaovimba hayajawakuta....Hello, niende kwenye mada, why michepuko ama wezi wa penzi wana vimba sana wakati mwenye mume au mke, au mwenye mpenzi ashagusa sana shoo na toka kitambo. Sasa unakuta sisi na wao visokolojo tunavimba sana na tantalila nyingi sana kwenda kwa wenyewe, hivi hapo uvimbaji unajengwa na kipi cha ziada?
Kwanini tunavimba sana ukiwa unamchapia mwingine iwe kwa mademu au kwa maboys unakuta uvimbaji upo vile vile na tantalila kama zote.
Tuambizane sababu kwanini tunavimba ili iweje na kipi ambacho yule hajapata?
Tuchangamkie hio ntajibu comments zote.
Nipo hapa
Wadiz
Umepiga wake za watu 8 mwaka huu?Wanaovimba hayajawakuta....
Mara ya Kwanza nilimchapia jamaa mmoja akaja na kundi lake walikua wabeba nyuma wakanifata Hadi home ili wanifanyie fujo bahati nzuri kama Mungu Tu siku hiyo Baba mdogo alikuja home na rafiki zake. Wote ni wanajeshi wa Jwtz aloo wale masela walipigishwa gwaride Hadi wakajuta...
Baadae nikajifunza kupiga kimya kimya... Kwa mwaka huu tu nimechepuka na Wanawake 8 bila kugundulika
Hello, niende kwenye mada, why michepuko ama wezi wa penzi wana vimba sana wakati mwenye mume au mke, au mwenye mpenzi ashagusa sana shoo na toka kitambo. Sasa unakuta sisi na wao visokolojo tunavimba sana na tantalila nyingi sana kwenda kwa wenyewe, hivi hapo uvimbaji unajengwa na kipi cha ziada?
Kwanini tunavimba sana ukiwa unamchapia mwingine iwe kwa mademu au kwa maboys unakuta uvimbaji upo vile vile na tantalila kama zote.
Tuambizane sababu kwanini tunavimba ili iweje na kipi ambacho yule hajapata?
Tuchangamkie hio ntajibu comments zote.
Nipo hapa
Wadiz