Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello, niende kwenye mada, why michepuko ama wezi wa penzi wana vimba sana wakati mwenye mume au mke, au mwenye mpenzi ashagusa sana shoo na toka kitambo. Sasa unakuta sisi na wao visokolojo tunavimba sana na tantalila nyingi sana kwenda kwa wenyewe, hivi hapo uvimbaji unajengwa na kipi cha ziada?
Kwanini tunavimba sana ukiwa unamchapia mwingine iwe kwa mademu au kwa maboys unakuta uvimbaji upo vile vile na tantalila kama zote.
Tuambizane sababu kwanini tunavimba ili iweje na kipi ambacho yule hajapata?
Tuchangamkie hio ntajibu comments zote.
Nipo hapa
Wadiz