Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Paka na maisha kuna uhusiano Gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yako ya hapo awali na hivi sasa yapo sawa?Nilishaua paka zaidi ya watatu, wawili zikuishia tu kuwaua, niliwachoma moto kabisa kushuhudia hawazinduki tena.
Mmoja alikula kifaranga cha kuku wangu mbele ya macho yangu. Niliacha cjakula mezani hadi zoezi la kumuua na kumchoma moto lilipokamilika.
Sina uhakika sana na hii maelezp yako kuhusu ubovu wa maisha.
Haya ni mambo ya Dunia ya tatu si rahisi kuyaelewa hivihivi mpaka wajuvi wa mambo wakufunze ,,,,,,ni sawa na kuruka na ungo ,,sasa jiulize ungo una machine ipi mpaka ikuwezeshe kupaa?Paka na maisha kuna uhusiano Gan
Ulifanya jambo zuri kumkatazaDah nilivyokuwa mdogo nilimsindikiza mwenzangu alikamata paka kwenda kumpelekea manyaunyau tukapewa 5000 kwa paka mmoja
RIP paka yule
Halafu hapa mitaa ya home kuna mipaka inakera usiku na mikelele ,jiraji yetu alitaka awawekee sumu nikamkataza
TuwangojeHaya ni mambo ya Dunia ya tatu si rahisi kuyaelewa hivihivi mpaka wajuvi wa mambo wakufunze ,,,,,,ni sawa na kuruka na ungo ,,sasa jiulize ungo una machine ipi mpaka ikuwezeshe kupaa?
Sijui labda kwa baadhi ya jamii... Ila kwetu hakuna kitu kama hicho. Nina rafiki yangu maeneo ya Tabata alitegea sumu mapaka asbh tukakuta paka karibu 13 wamekufa, lkn kimaisha hy jamaa yangu maisha yk yako poa. Alikuwa ameajiriwa lkn now amesajiri kampuni yake inapiga kazi kimataifa. Mwezi uliopita alikuwa anamalizia taratibu za kiserikali ili afungue kiwanda cha ku pack maji amechimba visimavya kutosha. Nina friend wangu mwingine ni mdada mwezi uliopita ameua mapaka kama ma3 lkn yuko poa. Sasa inawezekana ni imani tu kama ss kwetu wanasema kuua mnyama ambaye umewahi kumlisha/kumpatia chakula kwa mkono wako ni mwiko. Lakini mi niliuwa jibwa langu lilikuwa linazingua na niko poa. Kuna imani zingine zipo zipo tu ila ukiziamini zinafanya kazi.Great thinkers njoeni mnipe ufafanuzi kuhusu mada yangu
Ukiona hivyo baada ya kuua alirudi kwao kutambika au alimtafuta mtaalamu amzingue/amtibuSijui labda kwa baadhi ya jamii... Ila kwetu hakuna kitu kama hicho. Nina rafiki yangu maeneo ya Tabata alitegea sumu mapaka asbh tukakuta paka karibu 13 wamekufa, lkn kimaisha hy jamaa yangu maisha yk yako poa. Alikuwa ameajiriwa lkn now amesajiri kampuni yake inapiga kazi kimataifa. Mwezi uliopita alikuwa anamalizia taratibu za kiserikali ili afungue kiwanda cha ku pack maji amechimba visimavya kutosha. Nina friend wangu mwingine ni mdada mwezi uliopita ameua mapaka kama ma3 lkn yuko poa. Sasa inawezekana ni imani tu kama ss kwetu wanasema kuua mnyama ambaye umewahi kumlisha/kumpatia chakula kwa mkono wako ni mwiko. Lakini mi niliuwa jibwa langu lilikuwa linazingua na niko poa. Kuna imani zingine zipo zipo tu ila ukiziamini zinafanya kazi.
Nili mgonga lungu na mpaka Leo nipo fresh
HahahahaNili mgonga lungu na mpaka Leo nipo fresh
Sio magumu....hii miungu ya kuvamia inatutesa sanaDuuuuh kweli maisha magumu