Hivi kwa nini mtu mzima akiua paka maisha yake yanakuwa mabovu sana

Hivi kwa nini mtu mzima akiua paka maisha yake yanakuwa mabovu sana

Nilishaua paka zaidi ya watatu, wawili zikuishia tu kuwaua, niliwachoma moto kabisa kushuhudia hawazinduki tena.

Mmoja alikula kifaranga cha kuku wangu mbele ya macho yangu. Niliacha cjakula mezani hadi zoezi la kumuua na kumchoma moto lilipokamilika.

Sina uhakika sana na hii maelezp yako kuhusu ubovu wa maisha.
Maisha yako ya hapo awali na hivi sasa yapo sawa?
 
Dah nilivyokuwa mdogo nilimsindikiza mwenzangu alikamata paka kwenda kumpelekea manyaunyau tukapewa 5000 kwa paka mmoja

RIP paka yule

Halafu hapa mitaa ya home kuna mipaka inakera usiku na mikelele ,jiraji yetu alitaka awawekee sumu nikamkataza
Ulifanya jambo zuri kumkataza
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Great thinkers njoeni mnipe ufafanuzi kuhusu mada yangu
Sijui labda kwa baadhi ya jamii... Ila kwetu hakuna kitu kama hicho. Nina rafiki yangu maeneo ya Tabata alitegea sumu mapaka asbh tukakuta paka karibu 13 wamekufa, lkn kimaisha hy jamaa yangu maisha yk yako poa. Alikuwa ameajiriwa lkn now amesajiri kampuni yake inapiga kazi kimataifa. Mwezi uliopita alikuwa anamalizia taratibu za kiserikali ili afungue kiwanda cha ku pack maji amechimba visimavya kutosha. Nina friend wangu mwingine ni mdada mwezi uliopita ameua mapaka kama ma3 lkn yuko poa. Sasa inawezekana ni imani tu kama ss kwetu wanasema kuua mnyama ambaye umewahi kumlisha/kumpatia chakula kwa mkono wako ni mwiko. Lakini mi niliuwa jibwa langu lilikuwa linazingua na niko poa. Kuna imani zingine zipo zipo tu ila ukiziamini zinafanya kazi.
 
IMG-20170605-WA0002.jpg
 
Ukiona hivyo baada ya kuua alirudi kwao kutambika au alimtafuta mtaalamu amzingue/amtibu

Na ndio maana baada ya muda mafanikio yake yakawa makubwa kuliko yale ya hapo mwanzoni.

Ila hakuna anayeua paka bila kupata misukosuko yoyote maishani.
 
Ni imani zisizo na msingi. Paka ni mnyama kama wengine na hana uwezo wa kukupa mikosi. Imani unaijenga wewe kwa kuweka vitu kichwani na kujipa wasiwasi.
 
Back
Top Bottom