Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.
Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.
Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?
Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …