Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tulioelimika tunapaswa kuimplimant majumbani kwetu.Tanzania kwa wengi hasa wanaoishi mijini matunda tu ni kwa mgonjwa.
Changes begins with you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulioelimika tunapaswa kuimplimant majumbani kwetu.Tanzania kwa wengi hasa wanaoishi mijini matunda tu ni kwa mgonjwa.
Nchi zote watu wanavyakula vyao vikuu. Wachina wali daily. Waarabu na wazungu mikate daily.Nje wapi?
Huo mzigo mtu ngapi?..hilo lisinia.Biriani tunakula kila ijumaa, isitoshe ugali ndio main food ya Waafrika wengi kasoro wahaya tu.
Swala la diet ni la mtu binafsi kila mtu na serikali yake, kuna ambao ni wapenda kula vizuri na kuna wanaokula ili wasife tu.
Rabeka Mume Wangu, mtoa mada amesema watanzania wengi na research yake anayo mwenyewe....
Sitatoa sana siri ya milo yetu ya nyumbani, namuonesha kidocho tuuu vile tunakulisha mie na dada Sky ....
View attachment 2228523
View attachment 2228524
View attachment 2228525
View attachment 2228526
View attachment 2228527
View attachment 2228528
Vile nakupenda, utakula kile unataka hadi ucheue....😊😜😜😜😋.
Aahahahahahahaaa
Hiyo ndo desert kila baada ya mlo, inamwagilia moyo...😅😅😅.
Wigowan babe....😜.
Nenda you tube uliza hili swali utaelewa kila kitu, tukitaka kujua aina za misosi mbali mbali ni vema kujifunza kupitia you tube, mimi nimekuwa nikijifunza you tube kisha na share na wife misosi ninayotaka aipike, kupitia you tube kajifunza kupika vyakula vya aina nyingi sana, hiyo imetusaidia kuweza kubadili menu sio kila wakati kula wali maharage nyama mboga za majani au ugali maharage nyama na mboga za majaniHivi biriani ni mchanganyiko wa nini na nini? samahani kwa swali bro
Umenena vyema kabisa mkuu, namna ya ulaji ni sehemu ya utamaduni wa jamii husika. Cha msingi ambacho watu wanapaswa kupata ni elimu ya kuzingatia mlo kamili (yale makundi makuu matano ya vyakula). Ukila burger na mimi nikala ugali kwa dagaa au nyama tunapata vitu vile vile. Viazi, magimbi, migogo na jamii zake nazo zinatumika kama chanzo cha wangu sawasawa na mahindi, mtama, mchele n.k.Kwa hiyo sisi tule pizza na burger, ushatuona wazungu tayari........mbona wazungu hatuwaoni wakila wali, ugali, viazi, mihogo, magimbi wala makande, kila watu wana tamaduni yao kwenye ulaji.