Hivi kwa nini Tanzania hatubadilishi Menu? Ni umaskini au ukosefu wa ubunifu!

Kwa hiyo sisi tule pizza na burger, ushatuona wazungu tayari........mbona wazungu hatuwaoni wakila wali, ugali, viazi, mihogo, magimbi wala makande, kila watu wana tamaduni yao kwenye ulaji.

Hivi wali au viazi utamaduni wa Mtanzania ?
 
Kubwa ni umaskini na kukosa ubunifu. Wazungu huchoshwa sana na menu zetu.
Ndio sababu Wabongo wengi wakienda kwenye sherehe muda wa buffee wanaaibika kwa uroho kila dishi anataka achukuwe kilichomo mpaka sahani inakuwa mlima.

Ukiwa mtu wa menu kwenye sherehe huangaiki na miubwabwa na pilau tena wale servant ukitaka miubwabwa hiyo ndio wanakujazia wakati mambo mazuri yapo mbele.
 
Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.

Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.

Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?

Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
Unatakiwa ujue kuwa chakula ni sehemu ya utamaduni wa jamii kwasisi watanzania hivyo vyakula ulivyo orodhesha hapo ndivyo vyakula vya Kila siku vinavyo patikana kwa urahisi katika Swahili region nenda nchi yoyote utakuta Wana vyakula vyao vya kila siku ambavyo vipo Kila siku kwahiyo hivyo ndivyo vyakula halisi vya mswahili uwe na pesa au usiwe na pesa lazima uvile
 
Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.

Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.

Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?

Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
Hili jambo namwachia mke mdogo Kasie akujibu. Huu udhalilishaji hatuwezi kuurusu

Cc Mke mkubwa Sky Eclat kwa taarifa na utekelezaji
 
Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.

Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.

Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?

Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
kweli kabisa
 
Biriani inapikwa kwa mchele wa Basmart, na mboga yake iwe nyama au kuku inakuwa na rost nzito, vingine ni bonus tu.
kwahiyo mchele wa kyela au madibila hata huu wa mabogini haufai biriani?
 
  • Kicheko
Reactions: amu
Hivi biriani ni mchanganyiko wa nini na nini? samahani kwa swali bro
Mkuu,Kuna Biryani ya kuku,wali maalimu uliopikwa kwa mchele tofauti na huu tunaokula Kila siku,ule ni mrefu,na unakuta viongo mbalimbali pamoja na yai la kuchemsha
Pia zipo za Nyama ya Mbuzi,Ng'ombe no ila hivo inategemea na mpishi,Biryani inawekwa vitu vingi sana
 
kwahiyo mchele wa kyela au madibila hata huu wa mabogini haufai biriani?
Wengi mitaani kwenye biriani za bei powa wanatumia mchele wa kawaida super, ila mchele wa kupika biriani ni basmart unapatikana super market.
 
kweli mkuu ukitafuta supu ya mbogamboga za majani hupati popote na hata nyama ya popo pia haipatikani kabisa hapa Dathlam kwa Bashite
 
Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.

Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.

Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?

Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
SOlution ni kuishi shamba.

Unatafuta eneo la hekari kama 1 hivi,unajenga nyumba na kufanya aina ya vilivyo vya muda mrefu na mfupi.

Unaweka viazi,mihogo,matembele,bamia,maboga,nyanya,ndizi
nafuga kuku wako wa kienyeji,na mayai unaweka,tafuta japo mbuzi mmoja wa maziwa unafuga,hii ndio ndoto yangu yangu watu wa nyumbani wanakuwa hawakosi kazi ya kufanya.

Hapo gharama kununua mchele na unga tu
 
Itakua ulishawahi kukaa nje ya Tanzania, macaron na pasta si vyakula vya kwetu Kwamtogole. Huku tambi zinatiwa sukari tena ni chakula cha jioni kwa wenye unafuu wa maisha.
Ni kweli nimeishi uko ila bado ni affordable kwa Myanzania wa kawaida, paketi ya Macaroni ni sh 2000 tu wala uhitaji ujuzi wowote kuandaa, unachemsha maji unadumbukiza humo unaweka chumvi kidogo na mafuta kidogo umemaliza zinaiva zenyewe. Dakika 10 tu.

Unasave kwa nyama ya kusaga au rost ilichanganywa na vipande vidogo vidogo vya viazi ulaya.🔥🔥
 
Vyakula vya bei ghali husibi arifu
 
Biriani tunakula kila ijumaa, isitoshe ugali ndio main food ya Waafrika wengi kasoro wahaya tu.

Swala la diet ni la mtu binafsi kila mtu na serikali yake, kuna ambao ni wapenda kula vizuri na kuna wanaokula ili wasife tu.
Dubwasha kama hili ni bei gani mkuu??
 
Ni kweli nimeishi uko ila bado ni affordable kwa Myanzania wa kawaida, paketi ya Macaroni ni sh 2000 tu wala uhitaji ujuzi wowote kuandaa, unachemsha maji unadumbukiza humo unaweka chumvi kidogo na mafuta kidogo umemaliza zinaiva zenyewe. Dakika 10 tu.

Unasave kwa nyama ya kusaga au rost ilichanganywa na vipande vidogo vidogo vya viazi ulaya.🔥🔥
Tanzania kwa wengi hasa wanaoishi mijini matunda tu ni kwa mgonjwa.
 
Back
Top Bottom