Hivi kwa nini Tanzania hatubadilishi Menu? Ni umaskini au ukosefu wa ubunifu!

Hivi kwa nini Tanzania hatubadilishi Menu? Ni umaskini au ukosefu wa ubunifu!

Hivi kwa huu uchumi ulivojambia mbali af ule tu-viazi usiku utalala kweli???
Sisi tunakula kushiba kutokana na hali ya kipato
 
Tatizo niukosefu wa ubunifu unasababishwa na mazoea.
 
Hivi kwa huu uchumi ulivojambia mbali af ule tu-viazi usiku utalala kweli???
Sisi tunakula kushiba kutokana na hali ya kipato

Viazi vinashibisha kuliko hata ugali na hata virutubisho ni vingi zaidi!
 
Kwa hiyo sisi tule pizza na burger, ushatuona wazungu tayari........mbona wazungu hatuwaoni wakila wali, ugali, viazi, mihogo, magimbi wala makande, kila watu wana tamaduni yao kwenye ulaji.
 
Viazi vinashibisha kuliko hata ugali na hata virutubisho ni vingi zaidi!
Piga hesabu ya kawaida, waafrika rarely kukosa ndugu kwenye familia. Lets say on average una familia ya watu 5, watakula viazi vya kias gan cha fedha waridhike?
Siku hizi tunanunua vitu in bulk. Viazi ni perishable
 
  • Thanks
Reactions: amu
Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.

Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.

Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?

Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
Kubwa ni umaskini na kukosa ubunifu. Wazungu huchoshwa sana na menu zetu.
 
Ni kwasababu watu wamezoea kula vyakula wanavyokula nyumbani,na wengine hawana pesa ya kununua chakula kingine
Nakumbuka Kila Mara nilikuwa nikienda Nyumbani likizo tunabishana Sana na mother angu Kila siku ananunua Nyama,alikuja kunielewa baadaye Sana kwamba Nyama haifai kuliwa Kila siku
Ila maharage yanafaa kuliwa kila siku?
 
Back
Top Bottom