Hivi kwa nini Tanzania hatubadilishi Menu? Ni umaskini au ukosefu wa ubunifu!

Hivi kwa huu uchumi ulivojambia mbali af ule tu-viazi usiku utalala kweli???
Sisi tunakula kushiba kutokana na hali ya kipato
 
Tatizo niukosefu wa ubunifu unasababishwa na mazoea.
 
Hivi kwa huu uchumi ulivojambia mbali af ule tu-viazi usiku utalala kweli???
Sisi tunakula kushiba kutokana na hali ya kipato

Viazi vinashibisha kuliko hata ugali na hata virutubisho ni vingi zaidi!
 
Kwa hiyo sisi tule pizza na burger, ushatuona wazungu tayari........mbona wazungu hatuwaoni wakila wali, ugali, viazi, mihogo, magimbi wala makande, kila watu wana tamaduni yao kwenye ulaji.
 
Viazi vinashibisha kuliko hata ugali na hata virutubisho ni vingi zaidi!
Piga hesabu ya kawaida, waafrika rarely kukosa ndugu kwenye familia. Lets say on average una familia ya watu 5, watakula viazi vya kias gan cha fedha waridhike?
Siku hizi tunanunua vitu in bulk. Viazi ni perishable
 
Reactions: amu
Kubwa ni umaskini na kukosa ubunifu. Wazungu huchoshwa sana na menu zetu.
 
Samaki si lazima wawe changu, kama familia ni kubwa unanunua ndoo ya uono na debe la viazi. Wanakula kitu fish and chips.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ usisahau korie au alizeti iko juu hatari
 
Ila maharage yanafaa kuliwa kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…