Kwa hiyo sisi tule pizza na burger, ushatuona wazungu tayari........mbona wazungu hatuwaoni wakila wali, ugali, viazi, mihogo, magimbi wala makande, kila watu wana tamaduni yao kwenye ulaji.
Ndio sababu Wabongo wengi wakienda kwenye sherehe muda wa buffee wanaaibika kwa uroho kila dishi anataka achukuwe kilichomo mpaka sahani inakuwa mlima.Kubwa ni umaskini na kukosa ubunifu. Wazungu huchoshwa sana na menu zetu.
Unatakiwa ujue kuwa chakula ni sehemu ya utamaduni wa jamii kwasisi watanzania hivyo vyakula ulivyo orodhesha hapo ndivyo vyakula vya Kila siku vinavyo patikana kwa urahisi katika Swahili region nenda nchi yoyote utakuta Wana vyakula vyao vya kila siku ambavyo vipo Kila siku kwahiyo hivyo ndivyo vyakula halisi vya mswahili uwe na pesa au usiwe na pesa lazima uvileFamilia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.
Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.
Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?
Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
Biriani inapikwa kwa mchele wa Basmart, na mboga yake iwe nyama au kuku inakuwa na rost nzito, vingine ni bonus tu.Hivi biriani ni mchanganyiko wa nini na nini? samahani kwa swali bro
Hili jambo namwachia mke mdogo Kasie akujibu. Huu udhalilishaji hatuwezi kuurusuFamilia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.
Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.
Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?
Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
kweli kabisaFamilia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.
Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.
Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?
Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
kwahiyo mchele wa kyela au madibila hata huu wa mabogini haufai biriani?Biriani inapikwa kwa mchele wa Basmart, na mboga yake iwe nyama au kuku inakuwa na rost nzito, vingine ni bonus tu.
Mkuu,Kuna Biryani ya kuku,wali maalimu uliopikwa kwa mchele tofauti na huu tunaokula Kila siku,ule ni mrefu,na unakuta viongo mbalimbali pamoja na yai la kuchemshaHivi biriani ni mchanganyiko wa nini na nini? samahani kwa swali bro
Wengi mitaani kwenye biriani za bei powa wanatumia mchele wa kawaida super, ila mchele wa kupika biriani ni basmart unapatikana super market.kwahiyo mchele wa kyela au madibila hata huu wa mabogini haufai biriani?
SOlution ni kuishi shamba.Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni ile ile kila siku mchicha, maharage kama ni nyama kuku au ng‘ombe, basi.
Kama ni nyama choma ni hivyo hivyo kila siku mbuzi wa kuchoma ndizi.
Kwa nini hatubadilishi labda tambi kidogo, viazi au hata Mihogo na viazi vitamu, maboga au hata pizza na burger, pilau au hata biriani ?
Mtu anakula ugali maharage mchicha kama lunch kazini akirudi nyumbani hivyo hivyo na kesho na kuendelea, …
Ni kweli nimeishi uko ila bado ni affordable kwa Myanzania wa kawaida, paketi ya Macaroni ni sh 2000 tu wala uhitaji ujuzi wowote kuandaa, unachemsha maji unadumbukiza humo unaweka chumvi kidogo na mafuta kidogo umemaliza zinaiva zenyewe. Dakika 10 tu.Itakua ulishawahi kukaa nje ya Tanzania, macaron na pasta si vyakula vya kwetu Kwamtogole. Huku tambi zinatiwa sukari tena ni chakula cha jioni kwa wenye unafuu wa maisha.
Huyu binti wa Mzee Mitomingi alimponza Ngoswe kwenye sensa iliyofanyika enzi hizo.Mazoea
Dubwasha kama hili ni bei gani mkuu??Biriani tunakula kila ijumaa, isitoshe ugali ndio main food ya Waafrika wengi kasoro wahaya tu.
Swala la diet ni la mtu binafsi kila mtu na serikali yake, kuna ambao ni wapenda kula vizuri na kuna wanaokula ili wasife tu.
Tanzania kwa wengi hasa wanaoishi mijini matunda tu ni kwa mgonjwa.Ni kweli nimeishi uko ila bado ni affordable kwa Myanzania wa kawaida, paketi ya Macaroni ni sh 2000 tu wala uhitaji ujuzi wowote kuandaa, unachemsha maji unadumbukiza humo unaweka chumvi kidogo na mafuta kidogo umemaliza zinaiva zenyewe. Dakika 10 tu.
Unasave kwa nyama ya kusaga au rost ilichanganywa na vipande vidogo vidogo vya viazi ulaya.🔥🔥