Hivi kwa nini tumeamua kumpora Mungu utukufu wake na kujimilikisha sisi?

Nakushauri usijiingize katika mambo yanayokuzidi uwezo wakati andiko lako kunionyesha ni kilaza failure. Kwanza hujui kubwa baraka ni two way traffic, "ubarikiye nitambariki na umulaaniye nitamulaani". "Utajachofunga duniani na mbinguni litafungwa na utakkachokifungua duniani na mbinguni kitafunguliwa". Hiyo ni mifano michache kati ya mingi
Mungu ana kazi Gani sasa
 
Biblia ni kisichoaminika ndugu. Swali ni kwamba je mungu ana kazi Gani wakati Kuna watu wametwaa tayri uungu wake
Wewe hujielewi, kama huimini biblia pia huamini uwepo wa Mungu.

Mungu unayemtamka tumemsikia au kumjua kupitia biblia.

Hukuwa na haja ya kufungua uzi huu kwani hujielewi na huelewi unataka nini.

Hao unaowakosoa hubariki kwa mujibu wa biblia (lakini sio mashoga)

Hivyo uzi wako hauna maana yoyote
 
Mungu namuamini sana na yupo ananilinda daily na namuomba kila siku ila hivi vitabu tulivyoletewa na wazungu siviamini kabisa. Le ni culture ya kizungu ambayo sitaki kuiishi Mimi. Ila namuomba mungu daily japo biblia siviamini ila namwamini mungu
 
Wewe shida yako ushoga uonekane jambo la kawaida upenye hadi kanisani
 
"Kumpora Mung utukufu" tukirudi nyuma ni mwadamu mwenyewe ndo kampa Mungu huo utukufu.
 
Nani aliwaambua eti mtu anaweza kumbaliki mtu mwenzie. Hivi nyie mnacheza na Mungu eti!!

Nimeshangaa sana eti Kuna watu wanabariki watu wenzao. Sasa mungu ana kazi Gani! Mbona mnataka kumnyanganya ukuu wake.

Eti mashoga hamtawabariki!! Kwani uwezo wa kubarika mmetoa wapi
Huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote mwenyewe hayupo, na wewe huwezi kuthibitisha kuwa yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo, kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Ngoja nife kwanza nikifufuka nitakuja kukusimulia
 
Hata hicho kifo ni ushahidi Mungu huyo hayupo.

Angekuwapo, watu wasingetenganishwa na wapendwa wao kwa kifo cha lazima na uchungu.

Unazidi kuthibitisha huyo Mungu hayupo tu.
 
Mungu namuamini sana na yupo ananilinda daily na namuomba kila siku ila hivi vitabu tulivyoletewa na wazungu siviamini kabisa. Le ni culture ya kizungu ambayo sitaki kuiishi Mimi. Ila namuomba mungu daily japo biblia siviamini ila namwamini mungu
Ungesubiria upevuke akili ili uwe na reasoning capacity nzuri.

Huiamini biblia ya wazungu!
Lakini unaamini Mungu na unamuimba?

Wapi kwingine Mungu aliandikwa kwa imani ya kiafrika?

Mwafrika asili yake ni ibada ya mizimu yaani kuabudu mababu wafu, mito, milima na miti mikubwa.

Mungu kama Mungu imani imeletwa na wazungu na Waarabu.

Hoja yako inakosa mashiko kwasababu unajichanganya mwenyewe
 
Mi namuamini mungu yupo full stop ila biblia siviamini full stop. Kila mtu anaamini anachojua. Mkitaka kwenda kariakoo kutokea mbagala Kuna njia nyingi unaweza pitia kigamboni, uhasibu au helkopta juu lakini wote mtafika. Sasa we umechagua kumjua mungu kwa kitabu Cha biblia na mi nimeamua kutotumia njia hiyo lakini wote tutafika mbinguni
 
Ungesubiria upevuke akili ili uwe na reasoning capacity nzuri.

Huiamini biblia ya wazungu!
Lakini unaamini Mungu na unamuimba?

Wapi kwingine Mungu aliandikwa kwa imani ya kiafrika?

Mwafrika asili yake ni ibada ya mizimu yaani kuabudu mababu wafu, mito, milima na miti mikubwa.

Mungu kama Mungu imani imeletwa na wazungu na Waarabu.

Hoja yako inakosa mashiko kwasababu unajichanganya mwenyewe
Huruma yake mungu haipungui na njia zake hazieleweki.
 
Back
Top Bottom