Mungu ana kazi Gani sasaNakushauri usijiingize katika mambo yanayokuzidi uwezo wakati andiko lako kunionyesha ni kilaza failure. Kwanza hujui kubwa baraka ni two way traffic, "ubarikiye nitambariki na umulaaniye nitamulaani". "Utajachofunga duniani na mbinguni litafungwa na utakkachokifungua duniani na mbinguni kitafunguliwa". Hiyo ni mifano michache kati ya mingi
Wewe hujielewi, kama huimini biblia pia huamini uwepo wa Mungu.Biblia ni kisichoaminika ndugu. Swali ni kwamba je mungu ana kazi Gani wakati Kuna watu wametwaa tayri uungu wake
Uliwahi kumuona Mungu?Mungu ana kazi Gani sasa
Mungu namuamini sana na yupo ananilinda daily na namuomba kila siku ila hivi vitabu tulivyoletewa na wazungu siviamini kabisa. Le ni culture ya kizungu ambayo sitaki kuiishi Mimi. Ila namuomba mungu daily japo biblia siviamini ila namwamini munguWewe hujielewi, kama huimini biblia pia huamini uwepo wa Mungu.
Mungu unayemtamka tumemsikia au kumjua kupitia biblia.
Hukuwa na haja ya kufungua uzi huu kwani hujielewi na huelewi unataka nini.
Hao unaowakosoa hubariki kwa mujibu wa biblia (lakini sio mashoga)
Hivyo uzi wako hauna maana yoyote
Huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote mwenyewe hayupo, na wewe huwezi kuthibitisha kuwa yupo.Nani aliwaambua eti mtu anaweza kumbaliki mtu mwenzie. Hivi nyie mnacheza na Mungu eti!!
Nimeshangaa sana eti Kuna watu wanabariki watu wenzao. Sasa mungu ana kazi Gani! Mbona mnataka kumnyanganya ukuu wake.
Eti mashoga hamtawabariki!! Kwani uwezo wa kubarika mmetoa wapi
Ngoja nife kwanza nikifufuka nitakuja kukusimuliaHuyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote mwenyewe hayupo, na wewe huwezi kuthibitisha kuwa yupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo, kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Hata hicho kifo ni ushahidi Mungu huyo hayupo.Ngoja nife kwanza nikifufuka nitakuja kukusimulia
Ungesubiria upevuke akili ili uwe na reasoning capacity nzuri.Mungu namuamini sana na yupo ananilinda daily na namuomba kila siku ila hivi vitabu tulivyoletewa na wazungu siviamini kabisa. Le ni culture ya kizungu ambayo sitaki kuiishi Mimi. Ila namuomba mungu daily japo biblia siviamini ila namwamini mungu
Mi namuamini mungu yupo full stop ila biblia siviamini full stop. Kila mtu anaamini anachojua. Mkitaka kwenda kariakoo kutokea mbagala Kuna njia nyingi unaweza pitia kigamboni, uhasibu au helkopta juu lakini wote mtafika. Sasa we umechagua kumjua mungu kwa kitabu Cha biblia na mi nimeamua kutotumia njia hiyo lakini wote tutafika mbinguniUngesubiria upevuke akili ili uwe na reasoning capacity nzuri.
Huiamini biblia ya wazungu!
Lakini unaamini Mungu na unamuimba?
Wapi kwingine Mungu aliandikwa kwa imani ya kiafrika?
Mwafrika asili yake ni ibada ya mizimu yaani kuabudu mababu wafu, mito, milima na miti mikubwa.
Mungu kama Mungu imani imeletwa na wazungu na Waarabu.
Hoja yako inakosa mashiko kwasababu unajichanganya mwenyewe
Huruma yake mungu haipungui na njia zake hazieleweki.Ungesubiria upevuke akili ili uwe na reasoning capacity nzuri.
Huiamini biblia ya wazungu!
Lakini unaamini Mungu na unamuimba?
Wapi kwingine Mungu aliandikwa kwa imani ya kiafrika?
Mwafrika asili yake ni ibada ya mizimu yaani kuabudu mababu wafu, mito, milima na miti mikubwa.
Mungu kama Mungu imani imeletwa na wazungu na Waarabu.
Hoja yako inakosa mashiko kwasababu unajichanganya mwenyewe