Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

Ndio maana Gwajima anataka waongezewe mishahara ili mwenza arudi na hela nyingi
 
Sio walimu tu.

Wabongo wengi hata wenye kazi na mishahara mizuri ni wagumu sana kulipa madeni.

Binafsi alicholeta mtoa mada nakubaliana nae kwa kiwango fulani.

Niliwahi mkopesha mwalimu wa shule ya msingi laki na nusu nikaja kuipata baada ya miezi mitatu kwa tabu sana.

Niliwahi mkopesha mwanasheria pia laki 4 nikaja kuipata baada ya miezi miwili wakati ilikuwa niipate withn two weeks.

Na wote hao sio kwamba wana njaa no,nawafahamu wapo vizuri tu kiuchumi nilichokigundua watanzania wagumu sana kulipa madeni.

Wachache sana ukimkopesha ndio mtaenda sawa kwenye kulipana.
Ila walimu wamezidi mkuu,huwa wanajihisi wao tu ndio wana shida nchi hii.
 
Walimu sio watu Mimi namdai mwalimu mmjo Hadi hivi nampelekea polic anisaidie akalipa nusu nusu ndo naisubiri akiamua
 
Back
Top Bottom