hivi kwa nini wanaharakati uchwara hawajawaomba msamaha watanzania kwa yaliyotokea M29?

badirika

Senior Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
153
Reaction score
162
Kuwaambia vijana maskini wanadamane M29 Ilikuwa upumbavu uliyopitiliza sana .kwa sababu hizi zifuatazo:

1.unawezaje kuzuia uchaguzi siku ya uchaguzi? yani watu wametumia muda wao ,peza zao kuandaa uchaguzi harafu wewe unakuja kufanya fujo za kuzuia uchaguzi?kama kuzuia uchaguzi ilitakiwa ifanyike maandamano au fujo kabla ya M29 ili INEC itangaze kuwa uchaguzi umeahirishwa.

2.mliwadanganya wananchi eti jeshi litawalinda wandamanaji.hivi kuna mjinga anaweza kuwalinda watu wanaochoma nyumba na barabara?
3.kwamba jeshi lingeweza kuwasaidia wandamanaji kupindua nchi: hapa mlivyowajinga hata hamkufanya utafiti wa kujua uongozi wa jeshi ukoje.mlikuwa mnamjua chief of the staff wa jeshi na anatokea upande gani?

Hapa wanaharakati mlienda kwa mihemuko sana.Hhuezi kuiondoa CCM madarakani kwa mtutu wa bunduki wala mandamano.CCM ina mizizi balaa iliyozama chini kilomita 1.hata huyo unayekaa naye ni CCM au usalama wa taifa.

unaitaji kutumia akili nyinngi kuliko nguvu nyingi kuiondoa CCM madarakani bila kumwaga damu.mfano : 2015 kupitia akili kubwa za LOWASA CCM ilikuwa inaanguka kama wasingemtumia hayati Magufuri kipenzi cha watanzania.
shida ya wanaharakati na chadema mna tamaa ya urais sana.kinachotakiwa ni kuwekekeza kwa wabunge wengi wanaoweza kuandamana pale bungeni sehemu ambayo police na serikali hawawezi kuingiza bunduki na washa washa. M29 ilitakiwa ile strategy ya kulinda kura .hii inafaa sana.Godbless analifahamu hili .2010 ALITAKA KUUZA KURA KWA CCM WANANCHI WAKAMWAMBIA ..........niishie hapa kwanza
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali upotevu wa kodi za wananchi ili kuhalalisha muuaji Samia kukaa madarakani
 
Hata Lowassa unayemsifia alikuwa zao la CCM, so unataka kutuambia CCM itaondolewa na wana CCM wenyewe?
 
Wewe ni sehemu inayoonekana baada ya kuku kupulizwa na upepo mgongoni au usawa wa miguu yake.
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali upotevu wa kodi za wananchi ili kuhalalisha muuaji Samia kukaa madarakani
ilikuwa ni afadhali kodi zitumike lakini amani iwepo.sasa umejifunza nini? kodi zimetumika,damu imemwagika na huyo uliyemtaja anatawala kwa raha zake .hahahaha
 
Sio amani iwepo, sema ukondoo uzidi kuwepo. Damu haimwagiki bure, lazima atalipia hilo taka usitake. Kama unaona anatawala kwa Raha zakez basi utakuwa na ubongo mgando.
 
Kuwaambia vijana maskini wanadamane M29 Ilikuwa upumbavu uliyopitiliza sana .kwa sababu hizi zifuatazo:

1.unawezaje kuzuia uchaguzi siku ya uchaguzi? yani watu wametumia muda wao ,peza zao kuandaa uchaguzi harafu wewe unakuja kufanya fujo za kuzuia uchaguzi?kama kuzuia uchaguzi ilitakiwa ifanyike maandamano au fujo kabla ya M29 ili INEC itangaze kuwa uchaguzi umeahirishwa.

2.mliwadanganya wananchi eti jeshi litawalinda wandamanaji.hivi kuna mjinga anaweza kuwalinda watu wanaochoma nyumba na barabara?
3.kwamba jeshi lingeweza kuwasaidia wandamanaji kupindua nchi: hapa mlivyowajinga hata hamkufanya utafiti wa kujua uongozi wa jeshi ukoje.mlikuwa mnamjua chief of the staff wa jeshi na anatokea upande gani?

Hapa wanaharakati mlienda kwa mihemuko sana.Hhuezi kuiondoa CCM madarakani kwa mtutu wa bunduki wala mandamano.CCM ina mizizi balaa iliyozama chini kilomita 1.hata huyo unayekaa naye ni CCM au usalama wa taifa.

unaitaji kutumia akili nyinngi kuliko nguvu nyingi kuiondoa CCM madarakani bila kumwaga damu.mfano : 2015 kupitia akili kubwa za LOWASA CCM ilikuwa inaanguka kama wasingemtumia hayati Magufuri kipenzi cha watanzania.
shida ya wanaharakati na chadema mna tamaa ya urais sana.kinachotakiwa ni kuwekekeza kwa wabunge wengi wanaoweza kuandamana pale bungeni sehemu ambayo police na serikali hawawezi kuingiza bunduki na washa washa. M29 ilitakiwa ile strategy ya kulinda kura .hii inafaa sana.Godbless analifahamu hili .2010 ALITAKA KUUZA KURA KWA CCM WANANCHI WAKAMWAMBIA ..........niishie hapa kwanza
Wnaharakati walimimina risasi?.
 
Taahira mbwa takataka
 
Shida kubwa ya nyinyi wahuni wachache ndani ya chama ni kufikiri mnawaongoza ng'ombe na misukule; badala ya binadamu.

Siku ile ya Oktoba 29, 2025 waliojitokeza barabarani walikuwa siyo wanaharakati! Waliojitokeza siku ile walikuwa ni wananchi wa kawaida, na waliochoshwa na uonevu wenu uliopitiliza.

Na hata hizi tume zenu mnazoanzisha kila siku, ni za kupoteza tu raslimali muda na fedha. Mnachotakiwa kwa sasa ni kufuata na kuheshimu matakwa ya wananchi!

1. Wananchi wanataka kuwepo na tume huru ya uchaguzi! Na siyo hii iliyobadilishwa jina pekee huku muundo wake ukibakia kuwa ni ule ule wa zamani.

2. Wananchi wanataka Katiba mpya ili kuondokana na hii takataka ya 1977!

3. Wananchi wanataka kukomeshwa kwa vitendo vya utekaji, mauaji, kubambikiwa kesi za uhaini na ugaidi, na uonevu wote dhidi yao kwa sababu tu wanawakosoa.

4. Wananchi wanataka kuona fedha za serikali hazitumiki kwenye kununulia magari yenu ya kifahari, kulipana posho nono, Ufisadi, rushwa, nk. Wananchi wanataka kuona pesa zao zinatumika kwenye matumizi sahihi.

5. Wananchi na hasa vijana wanatamani na wenyewe kuifaidi keki ya Taifa kupitia ajira na fursa nyinginezo nyingi za kuwakwamua kiuchumi!

NB: Mkiyatekeleza haya yote niliyo yaandika hapa juu, ni mwanaharakati gani atahamasisha maandamano na kusikilizwa? Kumbukeni HAKI huinia Taifa! Tendeni haki halafu muone matunda yake. Kinyume na hapo mtaishi kwa hofu na tahadhari maisha yenu yote. Sababu muda wowote, kitanuka tena.
 
ni sawa .lakini kuna njia mbadala ya kudai haki na siyo kuzuia uchaguzi siku ya uchaguzi.sheria iko wazi kwamba ukitaka kuandamana omba kibari cha kutaka kuandamana na masharti ,mengine.
acheni kuwadanganya GENZ asiyotaka kusoma sheria na kufuata utaratibu .mnawatangukiza mbele kwa maslahi yenu.

yani watu wamejipanga kwa uchaguzi,wametumia hela nyingi kwenye kampeni harafu unataka kuwazuia wasipigiwe kura?kampeni zilipoaanza mbona mlikaa kimwya?
 
Mliambiwa tangu mapema muweke mazingira yanayokidhi vigezo kwa ajili ya uchaguzi huru na wa haki, mkapuuza! Mlitegemea nini? Na mkiendelea kukaza mafuvu yenu, kuendekeza dharau na ubinafsi wenu; huko mbele yatakuja kutokea machafuko makubwa zaidi.
 
acha hasira kijana.fuata sheria.kama uliona serikali imekaza shingo,ilitakiwa kuomba kibali cha kuandamana kwa amani.did you do that? hivi kuchoma barabara,masanduku ya kura ,nk ni maandamano ya amani?
 
Back
Top Bottom