- Thread starter
- #21
tunaelimishana.unawezaje kuzuia uchaguzi sikuya uchaguzi?akili nyengine bana sijui mziwekagawapi? timing ya kutaka mabadiriko haikuwa sahihi kabisa.zile fujo zilitaikiwa zifanyike kabla ya M29 ili tume huru itangaze kuwa uchaguzi umeahirishwa kutokana na usalama wa raia kuwa mdogo. TANGAZO LA KUAHIRISHA UCHAGUZI ,redioni na gazeti la taifa .Mnaangaika sana ila mauaji yalifanywa na Samia
TUACHE MIHEMUKOOO