hivi kwa nini wanaharakati uchwara hawajawaomba msamaha watanzania kwa yaliyotokea M29?

Mnaangaika sana ila mauaji yalifanywa na Samia
tunaelimishana.unawezaje kuzuia uchaguzi sikuya uchaguzi?akili nyengine bana sijui mziwekagawapi? timing ya kutaka mabadiriko haikuwa sahihi kabisa.zile fujo zilitaikiwa zifanyike kabla ya M29 ili tume huru itangaze kuwa uchaguzi umeahirishwa kutokana na usalama wa raia kuwa mdogo. TANGAZO LA KUAHIRISHA UCHAGUZI ,redioni na gazeti la taifa .

TUACHE MIHEMUKOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…