DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Unaharibu Uzi Sasa...Ndiwooooooooo! Owongo owongoo??[emoji23][emoji23] Unakuta nje anavutia balaaa ila ndani kaduchuuuu! Kweli Mungu hakupi vyote[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaharibu Uzi Sasa...Ndiwooooooooo! Owongo owongoo??[emoji23][emoji23] Unakuta nje anavutia balaaa ila ndani kaduchuuuu! Kweli Mungu hakupi vyote[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mimi kimo changu ni sawa na pipa. You can imagine [emoji1787]
Wanavokusubiri kwa hamu Sasa[emoji3][emoji116]Kwahiyo ID za kiume zitakazo pita pita kwa hii thread ni team tall guys eh?
Nitamtembelea mmoja PM atakaye bahatika. [emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Unaharibu Uzi Sasa...View attachment 1961239
Hakuna kapicha kusapoti hii komenti??[emoji849][emoji849] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi warefu na huku chini tumebarikiwa tunaruhusiwa kukomenti??
Pole sana!🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛Unaharibu Uzi Sasa...View attachment 1961239
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Yule mrefu sio mfupi! Tall lile!Vipi kuhusu Nduguayi Wa pale mjengoni idodomyaaa so nasikia yeye naye andu.nje
I can't imagine, nmebanwa kicheko afu najitahidi nikipotezee.Mimi kimo changu ni sawa na pipa. You can imagine [emoji1787]
Asante kwa kutupendaWanaume warefu aisee wanavutia mno! Afu muda wa kukiss sharti babe ainame kidogo kunifikia ama mimi niinue kichwa kidogo kumfikia raha, popote mlipo nawapendaa
OMG! Muandiko wa wapi huo? Unasoma darasa la ngapi mtoto, muda wa darasani huu unakimbilia JF. Wazazi waangalie hili!Wanawake hao hudhani na huamini wanaume wafupi wananguvu (mabansa)
1..akiolewa nawewe mfupi Basi atakosa ulinzi na taito fulani hivi (siunajua kwamba neno wameoana vibwego hlitakosekana
2__ huzani wanaume warefu basi Wana maumbile yaa ume kubw nandefu kwani wao vina vyao sihabaa kumbe sikweli
Note; kumbe sikweli siuliona magoti alivopindua meza
Huo ndo ukweli lakni😁😁Mnatutia genye tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili kuleta mbegu Wastani...
Sasa wote mkiwa wafupi, si mtazaa Vibwengo?
Wanavosoma comment zenu Sasa[emoji3]...Watatukana hapa...
Kwakweli, Mmefedheshwa Sana....Wanaume wafupi tuna kikao cha dharura muda huu
Haiwezekani hii haikubaliki.
Kimazoea,Hivi mwanaume mrefu ndiyo cm ngapi au futi ngapi hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]" wana nafasi peponi" umenikumbusha uleee uzi!Wanaume warefu wanajal, wanajua kupenda, wanajiamini, hawana visirani nyie, hao watu waachwe jamn wana nafasi zao peponi