Hivi kwa nini wanawake wafupi asilimia kubwa wanapenda kuolewa na wanaume warefu?

Hivi kwa nini wanawake wafupi asilimia kubwa wanapenda kuolewa na wanaume warefu?

Mimi nikiona mwanaume yuko na demu mrefu kuliko yeye na wanatembea barabarani kwa miguu huwa naenda kumuomba demu namba ya simu mbele ya jamaa yake alaf huyo jamaa yake namsalimia "dogo vipi? naona uko na dada"
Hahaaa utakatwa Ngwala mkuu shauri yako
 
Mmhh kama ni hivyo basi hata Mimi ni mrefu, maana kuna watu wafupi ajabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mrefu sana mdogo wangu.. kwenye wafupi jitoe[emoji3]
 
Kwa mwanamke je ni sawa
Hapana,
Kwa mwanamke ninscenario tofauti kwasababu wengi wao Wana vimo vidogo.

Kwahiyo,
Mwanamke mrefu anachukua kuanzia
Futi 5.5 na kuendelea

Size ya Kati,
kuanzia futi 5.1 mpaka futi 5.4

Mfupi,
Ni kuanzia futi 5.0 kushuka chini
 
Wahisheni kikao hicho Bila kuchelewa sii kwakunyanyapaliwa huko.
Kikaoni MDA huu ...[emoji23]
IMG_20210917_164049.jpg
 
Mmeanza tena
Ipo siku watulisha kinyesi hawa. Siku wakisema wanapenda Wala mavi, madume fasta wengi watajaa vyooni kula. Mfn. Walianza na six packs, watu hao kwenye nyumba za mazoezi, na mengine mengi. Sasa hili la urefu sijui itakuwaje maana liko nje ya uwezo wa binadamu... Hahaaa
 
Hili itabidi watu wakachongeshe miguu bandia sasa
 
kichwa cha thread kingesomeka hv

kwa nini wanaume warefu wanapenda kuoa wanawake wafupi???

N way, ni hivi..

wanawake wafupi wanajua kupenda wanajali, wanyenyekevu, warembo, ni walezi wazuri ,na wanajua kukamata wanaume vzr

zaidi ya yote wanabebeka kunako 6×6
 
Ohoooo!
 
Back
Top Bottom