Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
warundi huwa wanasingizia wametokea Kigoma, sasa mrundi gani ambae haitaki TZ.Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
1. Hawana nauli.Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
mtu mmoja tu amekuwa sample ya mkoa mzimaIli swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
Wanarudi bhana...Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
UNAJUA MAREHAMU MAJUTO NI MTU WA KIGOMA NA WATU WENGI WANAJUA NI MTU WA TANGAmtu mmoja tu amekuwa sample ya mkoa mzima
uko serious mkuu
SASA ULITAKA NI MTAJE RAISI WA KIZIMKAZI NDIO JIRANI YANGU AUUmetumia mfano wa mchunga-ng'ombe wenu tu kuhitimisha!
Warudi kutafuta nini mkoa uliojaa tunguri, uswahili na ushirrikina.Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
Ukikumbuka zile Funzo hata wewe usingerudiIli swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
Muulize Oscar.....Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.